Vincent Nyerere ateuliwe mkurugenzi wa kampeni na oparation CHADEMA

huyu ndiye NYERERE FAMILY BWANA WENGINE FAKE....................MKAPA KWELI hana staha.
 
Hongereni CHADEMA, kwa kufundisha vizuri elimu ya uraia. Sasa hata watu wa vijijini wanaanza kuwaelewa. Wanaweza kuchuja kati mchele na pumba, uongo na ukweli. Endeleeni hivyo hivyo. Chapeni kazi, fanyieni kazi hayo ambayo mmewaahidi wapiga kura wenu. Pole Vincent kwa yote na hongera kwa kazi nzuri.
 
Nakumbusha kuwa msingi imara wa CDM siyo personalities bali mfumo wa utendaji wa chama. CCM wanalijua hilo ndiyo maana ya thread za akina TUNTEMEKE & co.

Tusiruhusu huu mfumo wa utendaji wa chama ukaingiliwa na kirusi cha madaraka kwa kuwabambikia madaraka watu kwa matukio.

Uchaguzi huu pamoja na wa madiwani umethibitisha kuwa

1, Maamuzi ya pamoja yana toa fursa ya kuwajibika pamoja kupitia "defined chain of command"

2 Unatoa fursa ya kujengana na kubadilishana uzoefu

3. Jamii inapata fursa ya kutambua hazina na fursa mbadala wa makamanda wao.

4. Unaibua vipaji na kujiamini kwa individauls wanaopewa fursa ya kutekeleza hayo majukumu.

5. Maadui wanashindwa ku zero kumshambulia mtu binafsi ndani ya mfumo

KINYUME CHA HAYO NDIYO DONDA NDUGU LA CHAMA TWAWALA LA GANZI YA MAENDELEO TANZANIA
 
  • Thanks
Reactions: Zed
Kwa hali ilivyo sasa katika Tanzania hii inayofunguka hata wakikupeleka wewe ukawe Mgr wa kampeni hautashindwa matatizo ya wana wa nchi hii yako mengi kaka, ni kushambulia tu.
 
Hongera CCM kwa kukubali kushindwa. Mimi ushauri wangu kwa akina Nape na wenzake ni kuwa wawashauri vikongwe wa CCM kuwa sasa muda umefika wa kuwaachia hatamu za uongozi vijana ndani ya chama. Mkakati wa kutumia akina Wassira hautafanikiwa sana kwani kutakuwa na wapiga kura wapya wengi ifikapo mwaka wa 2015 yaani waliozaliwa 1997. Pia huu mtindo wa kutoa fursa kwa kuangalia majina ya viongozi waliopita kwa sasa unawaagusha sana, Najua Nape NNAUYE ni mmoja wa wafaidika wa mfumo huo lakini ukweli ni kuwa unakifanya chama kuonekana kuwa cha kisultani zaidi. Nimesikia hoja zikitolewa na CCM wakati wa kampeni za Arumeru kuwa mbona na CHADEMA nao wanafuata mtindo huohuo na walikuwa wakitoa mfano wa jimbo la Moshi. Ukweli ni kuwa makosa mawili hayawezi kufanya jambo liwe sahihi. Mwisho ni suala zima la ufisadi ndani ya chama na matumizi ya mafisadi kwenye kampeni. Acheni hilo mara moja.
 
nadhani chadema wana utaratibu mzuri zana, sura la kila mtu anapewa nafasi ya kfanya kazi... ikumbukwe Igunga alikuwa Mwingine, sasa Arumeru apewa mwingine, nadhani ikatokea pale ukonga atapewa mbuge mwingine apate uzoefu pia
 
wazee wa kishiri hawamtaki lema arumer-tendwa,.huyu mzee siku yake inakaribia..aikimbie nchi mapema.
 
Nyerere anawajua kwa kuwabana magamba ndo maana akatuma posa sasa tayari tumemuoa Sioi
 
Maoni yako ni mazuri tu mkuu,
Cha msingi ni kutoa shukrani na hongera kwa makamanda walioshiriki kwenye kampeni hii. Wote walijitoa kwa moyo wote bila kuchoka usiku na mchana.
Si vyema kila anayefanya jambo zuri azawadiwe cheo, vyeo ndio vinavyowagawa watu. Wako ambao walishafanya mambo makubwa sana, nao vyeo vyao utavitafuta vipi?

Mzee wa 'Ujira wa Mwiwa' sijui anasherehekea wapi!
 
Nakumbusha kuwa msingi imara wa CDM siyo personalities bali mfumo wa utendaji wa chama. CCM wanalijua hilo ndiyo maana ya thread za akina TUNTEMEKE & co.

Tusiruhusu huu mfumo wa utendaji wa chama ukaingiliwa na kirusi cha madaraka kwa kuwabambikia madaraka watu kwa matukio.

Uchaguzi huu pamoja na wa madiwani umethibitisha kuwa

1, Maamuzi ya pamoja yana toa fursa ya kuwajibika pamoja kupitia "defined chain of command"

2 Unatoa fursa ya kujengana na kubadilishana uzoefu

3. Jamii inapata fursa ya kutambua hazina na fursa mbadala wa makamanda wao.

4. Unaibua vipaji na kujiamini kwa individauls wanaopewa fursa ya kutekeleza hayo majukumu.

5. Maadui wanashindwa ku zero kumshambulia mtu binafsi ndani ya mfumo

KINYUME CHA HAYO NDIYO DONDA NDUGU LA CHAMA TWAWALA LA GANZI YA MAENDELEO TANZANIA

Imetulia hii!
 
viva chadema.....viva wana arumeru....nimefurahishwa sana na michango yenu wana jamii kufikia pahali nyote kwa pamoja mnakubali kuwa katika chadema kila mtu ni jembe that anaweza fanya mabadiliko chanya katika kuleta mabadiliko......viva top leaders for shapping chadema like that.....tujikite zaidi katika kujenga vijana na kuwa na timu nzuri wakati tukijiandaa kuchukua nchi hii.....
 
Toka kampeni Za mwanzo niliona dalili za ushindi hasa strategies za mahospitali,misi bani,watoto yatima,wajane masokoni nk nikajua kwisha kazi
 
Pongezi pia ziende kwa kamanda wa kampeni hizo John Mrema, Vicent amefanya kazi nzuri jukwaani lakini mikakati yote na utekelezaji wake ni John Mrema ambaye hapa alizusishiwa mengi ili kukatishwa tamaa lakini hatimaye kwa kushirikiana na viongozi wenzake wamefanikisha ushindi
You are right!
 
Hata waweke vijana hakuna kitu.

Kwanza vijana gani unaowazungumzia??

Hawa kina Nape au??
Hongera CCM kwa kukubali kushindwa. Mimi ushauri wangu kwa akina Nape na wenzake ni kuwa wawashauri vikongwe wa CCM kuwa sasa muda umefika wa kuwaachia hatamu za uongozi vijana ndani ya chama. Mkakati wa kutumia akina Wassira hautafanikiwa sana kwani kutakuwa na wapiga kura wapya wengi ifikapo mwaka wa 2015 yaani waliozaliwa 1997. Pia huu mtindo wa kutoa fursa kwa kuangalia majina ya viongozi waliopita kwa sasa unawaagusha sana, Najua Nape NNAUYE ni mmoja wa wafaidika wa mfumo huo lakini ukweli ni kuwa unakifanya chama kuonekana kuwa cha kisultani zaidi. Nimesikia hoja zikitolewa na CCM wakati wa kampeni za Arumeru kuwa mbona na CHADEMA nao wanafuata mtindo huohuo na walikuwa wakitoa mfano wa jimbo la Moshi. Ukweli ni kuwa makosa mawili hayawezi kufanya jambo liwe sahihi. Mwisho ni suala zima la ufisadi ndani ya chama na matumizi ya mafisadi kwenye kampeni. Acheni hilo mara moja.
 
No comment labda tumuulize Mkapa "eti Mr Clean Huyu Kiboko wako tumpe cheo gani ili kila ukimsikia masikio yako yatoe moshi!" lol am kidin!!

I like this....!
 
No comment labda tumuulize Mkapa "eti Mr Clean Huyu Kiboko wako tumpe cheo gani ili kila ukimsikia masikio yako yatoe moshi!" lol am kidin!!

Yaani hata kama unatania lakini ki ukweli kabisa huyu jamaa akisikia jina la huyu dogo anaweweseka! Yaani kama kuna watu waliwahi kumshusha thamani huyu haijafikia kiwango cha dogo! Pole sana BMW nahisi unahitajika kupumzika ili kulinda hako ka heshima kalikobakia!
 
Ni mapema sana kuzungumzia vyeo saizi, ngoja tusherehekee kwanza na kupeana pongezi. Vince was a mastermind na CDM itumie uzoefu wake kwa chaguzi zingine but sidhani kama ndio cheo kitafutwe kwa ajili yake. Vyeo ndio chanzo cha migawanyiko katika vyama. Kuna makamanda kibao wamepigana kuga na kupona Arumeru so watataka nao kupewa ka cheo fulani kama mwenzao Nyerere na wakinyimwa wataanza kulialia kama Tuntemeke, tii na paa
Umenifurahisha sana kuhusu kulialia kwa kina Tuntemeke, TII, na PAA sijui wamepotelea wapi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom