Vinatafutwa viti vya asili

Ngolewise

New Member
May 28, 2021
2
2
Kama ilinyo elezwa apo juu vinatafutwa viti vya asili ka. A hii picha inavyoonekana. Location viwe kanda ya ziwa bei iwekwe hapa mimi ni mgeni wa huu mtandao, staweza kuja inbox 👸😌🙏🙏​

Screenshot_20210514_205949.jpg
 
0767937314 so sorry namba nyingine kwa ajili ya mawasiliano na WhatsApp ni hiyo pia kwa ajili ya kupata viti vya asili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom