Vinara wa Uchumi Barani Afrika

leroy

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
1,391
2,000
Takwimu za mwaka 2011 zinaonesha kwamba Tanzania ni nchi ya 12 kiuchumi barani Afrika. Hii ni kwa kutumia kigezo cha GDP (Purchasing Power Parity). Takwimu zinaonesha pia kwamba ukiondoa nchi zinazozalisha MAFUTA (zenye rangi ya njano hapa chini), Tanzania ni nchi ya 5 yenye uchumi mkubwa barani Afrika.

Bado wachumi wana swali linalowashinda kila siku ni lini ukubwa huu wa uchumi utawapatia unafuu wa maisha watu wengi?

African RankCountry2011 GDP (PPP) Billion of International $
1 South Africa555.134
2 Egypt518.976
3 Nigeria413.402
4 Algeria236.661
5 Morocco162.617
6 Angola115.679
7 Tunisia100.979
8 Ethiopia94.878
9 Sudan89.048
10 Ghana74.937
11 Kenya71.427
12 Tanzania63.892
13 Cameroon47.251
13 Uganda46.638
14 Libya37.492
15 Ivory Coast36.068
16 Botswana29.707
18 Equatorial Guinea26.147
19 Democratic Republic of the Congo25.262
20 Senegal25.152

Chanzo: International Monetary Fund, 2010 figures.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom