Vinara wa Soka Waliopotea Kabla ya Wakati Wao!

Christopher Alex Massawe,
Kiungo wa Zamani wa Wekundu wa Msimbazi
 
Tumkumbuke Mohamed Kalon Wa aliyecheza Millan na Monaco, bonge la mchezaji aliyepotea kiajabu ajabu.

MARIO JARDEL- Mbrazil huyu mtambo wa mabao ambao haeleweki yuko wapi, enzi zake na Galatasaray.

Carstern Lamelow- mjerumani huyu na kiungo mahiri wa Bayer Reverkusen, mara ya Mwisho alilimwa Red ktk final na Real Madrid. Pia Orville Neuville japo yeye alitesa kidogo.

Tresor Romana Lua Lua winga huyu tereza wa kikongo ambaye alibaniwa sana pale Newcastle enzi za Allan Shearer.

Momo Sissoko- kiungo wa nguvu huyu ambaye alicheza Livepool na baadaye Juventus Turin lakini bado ameboa huko.

Thomas Gravesen and Southgate hawa wote walingara kwa muda mfupi na hasa Southgate alicheza mpaka Real Madrid lakini wapi.

Tal Ben Haim, Robert Huth na Khalid Bellarhouz mabeki hawa waliosifika na Pia Djalminha Mbrazil huyu wa Desportivo la Coruna haieleweki yu wapi.

Pius Ndief wa Cameroon enzi hzo akicheza klabu ya Sedan, pia Modesta Mbami na Baadaye Eric Djemba Djemba (Man U)

Abel Xavier mmatumbi wa Ureno, Gift Kampamba wa Zambia, Siyabonga Nomvette, Sibuziso Zuma wa Bafana,

Vagner Love, Cicinho na Felipe Melo wa Brazil.

Na hapa Bongo walikwepo kina
Peter Louis a.k.a Brazil, Hemedi Matobango, Mengi matunda, Issa Manofu, Ibrahim Kisungura, Aziz Hunter, Wilfred Kidau na Makoye Efrahim.

Pia walikwepo kina John Tindwa, Omari Mswaki, Shomari Abuchwaka, Alli Yusuph 'Tigana', Abdallah Sabebe wa Coastal Union, Anwar awadh wa Yanga na etc.
Huyo Djalminha alikuwa na personality disorder iliyomuathiri sana mpaka ikaua kipaji chake ila jamaa alikuwa anajua sana saanaaaa
 
1. Adriano
2. Michael Owen
3. Fernendo Torres - Alipotoka Liverpool kwenda Chelsea akapotea moja kwa moja
3.
 
nafikiri unamaanisha woodgate na sio southgate. woodgate ni mchezaji aliyepata mabalaa makubwa madrid na hata aliporudi england bado majeruhi yamemuandama
douthgate amecheza miaka yote england kwanza alichezea aston villa, kumbuka ndiye eliyekosa penati ya england na ujerumani kwenye euro '96, baadaye akahamia middlesborough alikocheza akawa kocha mchezaji kisha kocha kamili kabla ya kutimuliwa na sasa ni football analyst kwenye television ya skysports
Na sasa ndio kocha wa national team England
 
16.Fernando Redondo,jamaa alitoka Real Madrid akaenda AC Milan.Na kama kawaida yao Milan wakaua kipaji adimu ambacho dunia imewahi kukiona.The guy was very skilled and stylish,a real playmaker!!

Redondo alikuwa mtu hatari sana....si ndiye aliyeipatisha madrid uefa cup!!
 
Paul Gasgoine 'Gazza' - Mabangi nibangue yalifanya kipaji chake kipotee kabla ya wakati!
Diego Armando Maradona - Madawa ya kulevya yalifanya tukose uhondo wake WC 1994!

Just remember alikaa nje kama sikosei 4 years kwa kesi ya madawa ya kulevya.yani amecheza muda mfupi sana.kama sio issue ya kutumia hayo madawa 3 world cups zingemuhusu huyu mfalme.
 
Back
Top Bottom