Vinara wa Soka Waliopotea Kabla ya Wakati Wao!

Huyo aliyemsahau alikuwepo 1994, alitolewa kwa red card ktk mechi na USA baada ya kumpiga kwa kiwiko Tab Ramos (hapa nadhani gutierez anakumbuka vizuri,nshazeeka sasa!!!)
sikumbuki vizuri,ila kuna Mazinho alikuwa winga,Mauro Silva,Zinho na Jorginho walikuwa ndio mabeki wapandaji,Cafu anaingia super sub akimsaidia Zinho,captain Rai na msaidizi wake Dunga mwaka 1994
 
sikumbuki vizuri,ila kuna Mazinho alikuwa winga,Mauro Silva,Zinho na Jorginho walikuwa ndio mabeki wapandaji,Cafu anaingia super sub akimsaidia Zinho,captain Rai na msaidizi wake Dunga mwaka 1994

Hapo mkoba alikuwa kamanda Mauricio Santos.
Chini Dunga ambaye alikuja kuibika kuwa kocha sakala ktk historia ya makocha wa Brazil.
Then namba 8 alikuwa nguli mauro Silva ambae ktk fainali hizo za mwaka 1994 alipiga shuti lililomtoka kipa Pagliucca wa Italy kisha likaenda kula nguzo na kumrudia Pagliucca.
 
mimi kama mpenzi wa gunners sintowasahau hawa.. arsenal ya 1999

Kaba Diawara
Silvinho
Ray Parlour
Emmanuel Petit
Luis Boa Morte

hao kwenye bold letters bado wanasakata kabumbu..? wako wapi?
 
mimi kama mpenzi wa gunners sintowasahau hawa.. arsenal ya 1999

Kaba Diawara
Silvinho
Ray Parlour
Emmanuel Petit
Luis Boa Morte

hao kwenye bold letters bado wanasakata kabumbu..? wako wapi?
Silvinho,Man City ilimwacha yeye na kina Benjani Mwaruwari na Petrov msimu huu wa ligi ulipoanza,inasemekana karudi kwao Brazil,Kaba Diawara yupo Ufaransa anacheza daraja la pili huko,Boa Morte yupo West ham
 
Viola wa Brazil, huyu alicheza kama sub final mechi ya brazil v/s italy 1994. Lakini hapa kwetu tunao Jemin Kiiza, Clement Kahabuka na Benjamin Magadula.
 
Husseni Marsha

Edibily Lunyamila
Kasongo Athumani Mgaya
John Mngazija
Michael Paul
Ismail Mattan (Msomali)
Razak Yusuf-careca
Constantine Kimanda
Ali Malilo Loketo
Hilal Hemed
Saleh Hija
Ali Maumba
Francis Mwikalo
Steven Nyenge
Offen Martin
Benjamin Magadula

Hawa jamaa walikuwa na kipaji sanaaaa lakini walifulia kisoka kabla ya muda wao
 
1. Pablo Aimar - Kabla Messi hajatokea huyu ndiye aliyekabidhiwa mikoba ya Maradona!
2. Austin Okocha - Pele alikiri kuwa huyu kiungo madoido ni balaa na atafanya makubwa!
3. Faustino Asprilla - Alitegemewa kutumia mapande ya Valderamma kutesa muda mrefu!
4. Comrade Companero - Bahati mbaya timu ya taifa lake ni kichwa cha mwendawazimu!
5. Giuseppe Signori - Serie A ilishuhudia magoli yake murua ila Azzuri haikumtumia vizuri!
6. Ronaldinho Gaucho - Umri bado unamruhusu ila ameshapoteza kasi, nguvu na ari zaidi!
Marco Van Basten

Quaresma

Javier Saviola

Joe Cole

Fred Adu

Tom Cleverley

Falcao.
 
unajuwa haileti maana kumtaja mtu kama Ibracadabra ambaye kabeba ndoo akiwa na Ajax na juve na Inter, na Barca na sasa yuko kileleni na AC Milan huku akiwa katoka kuwanyuka mabingwa wa ulaya Inter.

iko siku mtakuja kuandika hata Pato pia kapotea.
Companero plz wasahihishe wachangiaji tafadhali.

Kuna watu wa kuwaweka humu kama kina Owen, Henry, Reyes, Gilberto, ryan Babel, overmars, edu...nk nk nk
Pato ni kweli amepotea.
 
Paul Gasgoine 'Gazza' - Mabangi nibangue yalifanya kipaji chake kipotee kabla ya wakati!
Diego Armando Maradona - Madawa ya kulevya yalifanya tukose uhondo wake WC 1994!
Jack Wilshere

David Bentley

Owen Hargreaves

Michael Owen

Alan Smith

Florent Sinama Pongolle

Anderson

Luis Nani

Fernando Torres
 
kuna jamaa wa Kimexico alikuwa anaitwa Giovani Dos Santos.

Alitabiriwa makubwa sana alipokuwa La Masia, lakini ghafla akabaki kuwa mzururaji tu kwenye timu nyingi barani Ulaya.

Kwasasa anacheza zake ligi ya MSL.
 
Back
Top Bottom