KUHUSU MICHAEL PAUL...... namkumbuka vizuri kwani wenzangu wengi walinifananisha naye kiuchezaji....some called me MASHA, IDD SELEMANI,CHINA,NICO KIONDO(the time akiwa kilimanjaro hotel)JUJUMAN,MATHEMATICIAN/MATHEMATICS(ndipo hasa asili ya jina nitumialo humu jamvini)..... AND MANY MORECuthbert Mwangalaba
Michael Paul
Nimesahihisha. Ni Method Mogella.
mkuu1. Pablo Aimar - Kabla Messi hajatokea huyu ndiye aliyekabidhiwa mikoba ya Maradona!
2. Austin Okocha - Pele alikiri kuwa huyu kiungo madoido ni balaa na atafanya makubwa!
3. Faustino Asprilla - Alitegemewa kutumia mapande ya Valderamma kutesa muda mrefu!
4. Comrade Companero - Bahati mbaya timu ya taifa lake ni kichwa cha mwendawazimu!
5. Giuseppe Signori - Serie A ilishuhudia magoli yake murua ila Azzuri haikumtumia vizuri!
6. Ronaldinho Gaucho - Umri bado unamruhusu ila ameshapoteza kasi, nguvu na ari zaidi!
Hawa vijana wangu walidumu kwa mud amfupi sana kwenye timu za Simba na kufariki mapema pia:
1. Salehe Sonda 1. Method Mogella (Mafundi Mchundo wa kutoka TC Arusha).
kuhusu michael paul...... Namkumbuka vizuri kwani wenzangu wengi walinifananisha naye kiuchezaji....some called me masha, idd selemani,china,nico kiondo(the time akiwa kilimanjaro hotel)jujuman,mathematician/mathematics(ndipo hasa asili ya jina nitumialo humu jamvini)..... And many more
1. Pablo Aimar - Kabla Messi hajatokea huyu ndiye aliyekabidhiwa mikoba ya Maradona!
2. Austin Okocha - Pele alikiri kuwa huyu kiungo madoido ni balaa na atafanya makubwa!
3. Faustino Asprilla - Alitegemewa kutumia mapande ya Valderamma kutesa muda mrefu!
4. Comrade Companero - Bahati mbaya timu ya taifa lake ni kichwa cha mwendawazimu!
5. Giuseppe Signori - Serie A ilishuhudia magoli yake murua ila Azzuri haikumtumia vizuri!
6. Ronaldinho Gaucho - Umri bado unamruhusu ila ameshapoteza kasi, nguvu na ari zaidi!
16.Fernando Redondo,jamaa alitoka Real Madrid akaenda AC Milan.Na kama kawaida yao Milan wakaua kipaji adimu ambacho dunia imewahi kukiona.The guy was very skilled and stylish,a real playmaker!!
Tumkumbuke Mohamed Kalon Wa aliyecheza Millan na Monaco, bonge la mchezaji aliyepotea kiajabu ajabu.
MARIO JARDEL- Mbrazil huyu mtambo wa mabao ambao haeleweki yuko wapi, enzi zake na Galatasaray.
Carstern Lamelow- mjerumani huyu na kiungo mahiri wa Bayer Reverkusen, mara ya Mwisho alilimwa Red ktk final na Real Madrid. Pia Orville Neuville japo yeye alitesa kidogo.
Tresor Romana Lua Lua winga huyu tereza wa kikongo ambaye alibaniwa sana pale Newcastle enzi za Allan Shearer.
Momo Sissoko- kiungo wa nguvu huyu ambaye alicheza Livepool na baadaye Juventus Turin lakini bado ameboa huko.
Thomas Gravesen and Southgate hawa wote walingara kwa muda mfupi na hasa Southgate alicheza mpaka Real Madrid lakini wapi.
Tal Ben Haim, Robert Huth na Khalid Bellarhouz mabeki hawa waliosifika na Pia Djalminha Mbrazil huyu wa Desportivo la Coruna haieleweki yu wapi.
Pius Ndief wa Cameroon enzi hzo akicheza klabu ya Sedan, pia Modesta Mbami na Baadaye Eric Djemba Djemba (Man U)
Abel Xavier mmatumbi wa Ureno, Gift Kampamba wa Zambia, Siyabonga Nomvette, Sibuziso Zuma wa Bafana,
Vagner Love, Cicinho na Felipe Melo wa Brazil.
Na hapa Bongo walikwepo kina
Peter Louis a.k.a Brazil, Hemedi Matobango, Mengi matunda, Issa Manofu, Ibrahim Kisungura, Aziz Hunter, Wilfred Kidau na Makoye Efrahim.
Pia walikwepo kina John Tindwa, Omari Mswaki, Shomari Abuchwaka, Alli Yusuph 'Tigana', Abdallah Sabebe wa Coastal Union, Anwar awadh wa Yanga na etc.
Momo Sissoko- kiungo wa nguvu huyu ambaye alicheza Livepool na baadaye Juventus Turin lakini bado ameboa huko.
Thomas Gravesen and Southgate hawa wote walingara kwa muda mfupi na hasa Southgate alicheza mpaka Real Madrid lakini wapi.
.
Habari hii imenishitusha kidogo kwa sababu mimi ninavyojua miongoni mwao wamecheza kwa umri ambao mchezaji anakuwa kwenye hali ya uchezaji na baada ya hapo mwili hauwezi tena kuendana na kasi ya mpira. Lakini inategemea pia unafuatilia ligi zipi, maana kwa wale wanaofuatilia ligi ya uingereza tu hapo ni sawa. Lakini kwa wanofuatilia ligi nyingine nyingi basi utafahamu kuwa wachezaji wametumika kama ilivyostahili ispokuwa Van Basten ambaye sababu ya majeraha yalifupisha muda wake wa kucheza hata hivyo katika umri wa miaka 30. Kichekesho ni Mchezaji ULIMBOKA MWAKINGWE yeye amestaafu akiwa na umri wa miaka 25, kama ni kweli umri uonaonekana ni sahihi.
Lakini Pablo César Aimar bado anacheza kwa kiwango cha juu kabisa kwenye Club ya benifica akishirikiana na Javier Saviola, kama ilivyo kwa Gaucho ambaye pia ni mchezaji wa kudumu AC Milan. Kama unafuatilia kwa kina mambo ambayo yalimuweka kwenye wakati mbaya kocha wa Brazil -Dunga ni kumuacha Gaucho.
Ninaambatanisha vielelezo vya wachezaji husika kwa msaada wa wikipedia
malota soma...john makelele...itutu kigi...issa athuman.....damian mrisho...pondamali
Hristo Stochkov,Davor Suker,Predrag Mijatovic
nafikiri unamaanisha woodgate na sio southgate. woodgate ni mchezaji aliyepata mabalaa makubwa madrid na hata aliporudi england bado majeruhi yamemuandama
douthgate amecheza miaka yote england kwanza alichezea aston villa, kumbuka ndiye eliyekosa penati ya england na ujerumani kwenye euro '96, baadaye akahamia middlesborough alikocheza akawa kocha mchezaji kisha kocha kamili kabla ya kutimuliwa na sasa ni football analyst kwenye television ya skysports