Vina vilikua zamani

Wasanii huwa wanaanza vzr lakini nadhani huwa wanabadilika kutokana na soko na aina ya mziki raia wanaoupenda,
Harmonize alianza na aiyola, matatizo,sina zote zinavutia,

Chibu ana nyimbo safi kabisa nitarejea, binadam wabaya, lala salama, je utanipenda? Hizi zinavutia, kinachowabadlisha ni soko
 
Media ndio zakulaumiwa kutuletea mziki wa club kama mainstream music

Miziki yote ya sasa mingi inafanya vizuri kwenye Bar na club yaani ukiwa bwii ndio unaielewa..
 
Me nilietoa post ndio kwanza nina 26yrs lakn pamoja na yote unayosema ukwel usiopingika ni kwamba kwa sasahv mziki hakuna mziki ulikua zaman ndo mana hata nyimbo ziliweza kuishi mda mrefu bila tatizo mfano wimbo wa dhahabu wa dully sykes ni wa mda lkn ukipigwa mpk sasa unabamba na sio huo tu mizik ya zaman ilikua mizuri tofaut na sasa
Mkuu nimetimiza miaka 24 mwezi wa kwanza na nimeandika kama kijana ambaye siafiki hii kitu ya watu baadhi kudhani muziki wa zamani ulikuwa bora kuliko wa sasa.

Zama zinabadilika dear lazima tukubali . Hichi unachoona kwamba hakina maadili ni kwa sababu unakilinganisha na cha miaka fulani .

Na ndiyo maana nikasema wakija wazee wa sasa ukawapo huo mziki wa miaka ya 2000 kuja mbele(bongo fleva) wataona pia hauna maadili.
 
Back
Top Bottom