Vina kubomoa vima neno hivi?

bbwaoy

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
466
464
Una tuma sms kwa mtu ana jibu huku sms ikiwa imechanganyika na tuma neno hutu..

tyu _ tu
Jomoni_ jamani
xaxa_sasa
K_ okay
Vepe_vipi
Buana_ Bwana/Bana
Exn_Thanks
G9t_Goodnight
Poah_Poa

Share mengine yano kukera katika uandishi wa sms.....
 
Cn…sina
Mby…mbaya
Nzr…nzuri

Mimi mtu hanitumii msg ya aina hii nikaijibu , kwangu ni marufuku sms za kijinga hivi
 
Kuna mdada aliniandikia ...4ne
Akimaanisha phone

Ilinichukua karibia wiki nzima kuelewa
 
P
Yan sipendagi mtu anijibu hivyo lingine dime kabsa yan, mm jitu likinitxt hivyo na mm nalijb "k"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom