Vimwana wa Arsenal ...

Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,668
1,400
311047_119122244855208_119015798199186_84598_684326_n.jpg

294154_119122254855207_119015798199186_84599_6189644_n.jpg

297375_119122271521872_119015798199186_84600_3592933_n.jpg

318905_119122281521871_119015798199186_84601_3574115_n.jpg

Hapa napita. Sina mchango wowote. Mke wangu ni shabiki wa arsenal sitaki kumkwaza.

arsenal wamefungwa mabao 8 kwa kuwa wamecheza mwezi wa 8 wangetaka.wafungwe machache wangecheza mwezi wa 1 na ole wao wangecheza mwezi wa 12 kila mchezaji angetoka na goli lake na la kocha pia.

Mi nashangaa mtoa mada kaja na mada yake mijitu inaichakachua kwa habari za kufungwa kwa Arsenal!
Wewe arsenal ikishinda au ukifungwa kumi unafaidika vp? Matatizo uliyo nayo yanaisha au?

Madogo wako pouwa xana vile vile wasukuma ndinga wao wako pouwa of coarse lakini nafikiri watakuwa pouwa kupita maelezo wakikua.

du wakwetu hao we the gunnerz!,mtatushinda kwa game lakini mpaka vimwana tunao!

Mi nashangaa mtoa mada kaja na mada yake mijitu inaichakachua kwa habari za kufungwa kwa Arsenal!

Wewe arsenal ikishinda au ukifungwa kumi unafaidika vp? Matatizo uliyo nayo yanaisha au?

ASERNANE HUYOOOOOO!

8888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888888! mpaka kuchweee!!!

arsenal wamefungwa mabao 8 kwa kuwa wamecheza mwezi wa 8 wangetaka.wafungwe machache wangecheza mwezi wa 1 na ole wao wangecheza mwezi wa 12 kila mchezaji angetoka na goli lake na la kocha pia.

Mkuu ulishawahi kusafiri hadi Loliondo?

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom