Vimini, tait na nguo zinazo onyesha maumbile yenu havitubabaishi ng'o

Dec 1, 2014
10
0
Ilitusumbua sana hali hii mwanzoni mwa miaka ya 2000 lakini sasa hivi wanaume haitusumbui hata kidogo nyie tembeeni hata uchi hatubabaishiki zaidi ya kuwazarau nakuwaona malaya Ona hii KIMINI Kimelea Mimi Ninacho hatuna shida na virusi vyenu
 
Haya bana........basi tutatembea extra naked...........hiyo pia hutababaishika............?
 
Hii Extra Naked ningelipenda niione maana sijawahi kuisikia. Na kuishi nchi za Watembea nusu uchi, sikuwahi kusikia.

Labda imeanza baada ya mie kuwa nimerudi SIKONGE. Huku Sikonge ni kujifunga matambaa hadi basi tu.

Haya bana........basi tutatembea extra naked...........hiyo pia hutababaishika............?
 
Kama hubabaiki una tatizo si bure na tutazidi kuvivaa wale marijali ndo watababaika ila wasio wala hawataona mabadiliko yoyote
 
Mimi wananisumbua na kunibabaisha...... Hasa akiwa amejaaliwa Shuzi La Maana.
 
Hahahaha sasa mbona kama unababaika kwenye thread yako?! Kuwa mwanaume bwana!!'!
 
Haya bana........basi tutatembea extra naked...........hiyo pia hutababaishika............?

Tembeeni. KWANZA Historia inaonesha wazungu ndo walituletea nguo. Kabla ya hapo ilikuwa si half naked but full naked na kutamaniana hakukuwepo.

Tembee muone wachina wanavyovaa vimin na hawatamaniani. Kutaman ni mind set tu hakuna lolote. WENYE WAKE NI MASHAHIDI je mkeo kila mkiwa naye chumban unamtamani?
Je ukiona uchi wa mtoto unataman?
Hakuna lolote, hata mtembee uchi mi sina shida.

Tuache mawazo ya kingono jaman.
 
Back
Top Bottom