Vimbwanga vya wenye majina sijui, stars wa kitanzania !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vimbwanga vya wenye majina sijui, stars wa kitanzania !!!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Muke Ya Muzungu, May 15, 2010.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  haya majitu ya kitanzania maarufu au yenye hela yanamatatizo. Sijui niseme ulimbukeni
  1. Hasheem anapigana na watu kwenye ma-club, ana tembea na VOGUE Dar, linapiga muziki mkubwa IFM ili lipate attention, toto la sinza lishamba! hapo hapo kwenye redio na TV anajifanya hajui kiswahili!

  2. Mwenzie John Mashaka mshamba mkurya, ananunua heka mia moja heti ranch? wakati amehamisha masikini karibia familia 50 huko mbweni baharini. Huu ni ushamba mtupu, akiweza kujenga kwenye heka 100 kwa sababu anafanya wall-street basi na mimi nanunua Private Jet. Yaani heka mia moja yote kazungushia fensi, wakati natives wa eneo hilo wote kawanunua na kuwatoa kwenye makazi yao hata na wenye familia. Makubwa!!!

  Wadau haki iko wapi?
   
 2. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  BTW, who is Mashaka!.

  Sijategemea na we "FISI - ADI- ORIGINAL uanze kuulizia ilipo haki wakati watu wanatumia hela zao bana!...

  Kwani tabu mtu kununua eneo kama ana mijihela inamsumbua na anataka kuongeza?? Au tabu bapi kununua Vogue na kupiga Muziki Mukubwa iwapo wale unaotaka wajue nawe upo hawana muda na wewe??.. Binafsi nadhani ni sehemu ya maisha mzee yasikuumize sana haya yapo mengi yanakuja, we tulia tu angaikia masisha yako na familia vinginevyo utakosa usingizi bure wakati wenzio wanazidi kuruka !!!
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  This thread = Ze Utamu x Majungu ^ Umbea
   
Loading...