Vimbunga Tita, Irene n.k | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vimbunga Tita, Irene n.k

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by olele, Aug 31, 2011.

 1. olele

  olele JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 80
  kuna swali huwa najiuliza na sipati majibu yake lakini nadhani hapa ndo mahali sahihi,
  hivi haya majina ya vimbunga kama rita, irene n.k hayo majina wanayapataje i mean watumia vigezo gani kuamua hilo jina, na inaonekana ni maji na ya kike tu. mwenye msaada anijuze
   
Loading...