Vilio vingi vya wananchi ni ishara ya uongozi safi wa Magufuli

Kigodoro

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Messages
1,645
Points
2,000

Kigodoro

JF-Expert Member
Joined Apr 25, 2014
1,645 2,000
Binadamu kwa asili yake ni mvivu na mkiukaji wa taratibu. Kuna nadharia nyingi sana zinazoelezea suala hili. Theory X na theory Y. Na ndiyo chimbuko la kanuni, taratibu na sheria mbalimbali kutungwa ili kumuweka mwanadamu kwenye mstari ktk jambo lolote analolifanya.

Hata hivyo, viongozi wengi wanaopewa dhamana hawasimamii kanuni, taratibu na sheria zilizowekwa ipasavyo. Hii inaweza kuwa ni kwasabb wao wenyewe wana udhaifu mkubwa ktk kuheshimu kanuni, taratibu na sheria ama wanafungwa mikono na maovu wanayo yatenda wakiwa ktk nafasi zao. Viongozi wa aina hii hupendwa na wengi na kuchukiwa na walio wachache.

Kwahiyo kiongozi mwenye dhamira ya dhati ya kusimamia kanuni, taratibu na sheria huchukiwa/kulalamikiwa na wengi.

Magufuli Shikilia Hapo Hapo. Kelele hz ni za wavunja kanuni, taratibu na sheria a.k.a wapigaji.
 
KANYAMA

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Messages
2,064
Points
2,000

KANYAMA

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2011
2,064 2,000
Binadamu kwa asili yake ni mvivu na mkiukaji wa taratibu. Kuna nadharia nyingi sana zinazoelezea suala hili. Theory X na theory Y. Na ndiyo chimbuko la kanuni, taratibu na sheria mbalimbali kutungwa ili kumuweka mwanadamu kwenye mstari ktk jambo lolote analolifanya.

Hata hivyo, viongozi wengi wanaopewa dhamana hawasimamii kanuni, taratibu na sheria zilizowekwa ipasavyo. Hii inaweza kuwa ni kwasabb wao wenyewe wana udhaifu mkubwa ktk kuheshimu kanuni, taratibu na sheria ama wanafungwa mikono na maovu wanayo yatenda wakiwa ktk nafasi zao. Viongozi wa aina hii hupendwa na wengi na kuchukiwa na walio wachache.

Kwahiyo kiongozi mwenye dhamira ya dhati ya kusimamia kanuni, taratibu na sheria huchukiwa/kulalamikiwa na wengi.

Magufuli Shikilia Hapo Hapo. Kelele hz ni za wavunja kanuni, taratibu na sheria a.k.a wapigaji.
101% true
 
Forum statistics

Threads 1,379,279
Members 525,347
Posts 33,741,082
Top