Vile vyandarua tulivyopewa mwaka juzi vimeanza kuchanika(vimechoka)

Vile vyandarua tulivyopewa mwaka juzi vimeanza kuchanika(vimechoka)

Nlikuwa nauliza wahusika kuna uwezekano na mwaka huu tukapewa zawadi nyingine ya vyandarua kwa kila kaya?

NB: Siku hizi mbu wameongezeka sana kuliko enzi za jk
91566d82d507e9b94ac930c41f240d88.jpg

Kwenye hiyo picha naona kama dyudyu ya mwanaume aliyesimama, au ndo maluweluwe ya balimi
 
Kama upo Dar njoo nikupe ninavyo viwili sijawahi kuvitumia maana vina Uzi mgumu kama wa senyenge za uzio wa nyumba.
 
Back
Top Bottom