VILE "visit Rwanda" inanizinguaga

Hujamwelewa mleta mada! Msingi wa hoja yake anashangaa kwa nini Rwanda wameweza kutoboza mpaka UK kwenye ligi kubwa kama ile kutangaza utalii sisi nini kimetushinda? Hajabeza vivutio walivyo navyo Rwanda. Kumsaidia tu mleta mada ni kwamba miaka ya Lazaro Nyalandu alipokuwa waziri wa utalili tuliweza kuweka tangazo letu kwenye uwanja wa Sunderland (Stadium of light), mkanda ulikuwa unapita ukiwakaribisha watalili kutembelea Tanzania kuja kujionea vivutio vingi kama Serengeti, Ngorongoro n.k Ila sasa hivi tumekwama kwa vile kwenye hiyo wizara tumeweka boga!
Daaah!
 
Huwezi kumuita mchapa kazi boga. Huyu waziri aliyopo ni wakupewa big up kuliko wengine wote tangia uhuru sababu sasa hivi kila kukicha anavuta tuzo mpya kuja Tanzania, mara best safari coutry, mara serengeti best park in the world, sasa hivi miaka kadhaa mfululizo matuzo yaliokuwa yanaenda Kenya yanakuja Tanzania. Hebu weka tuzo moja huyo uliyemtaja aliwahi kuleta. Kisha uje nikukabidhi tuzo la boga kuu.
 
Wanabodi habari za jumamosi,

Sorry kwa lugha niliyoitumia katika title hapo juu.

Kama mada inavyojipambanua, huwa nikitazama katika vyombo vya habari vikubwa pale Uingereza, mfano BBC au skysport. Wanapokuwa wakiwahoji wanamichezo na makocha mbali mbali, huwa naona TANGAZO"VISIT RWANDA"

Siwachukii wanyarwanda, ila najiulizaga kwani Rwanda kuna kitu gani cha ajabu hata wameweza kujitangaza internationally?

Mbona hapa kwetu bongo kuna kila aina ya vivutio kwanini siioni VISIT TANZANIA? Wahusika wanafeli wapi??????

Nawasilisha.... Sabato njema
Mbona tukitangaza huwa husemi Rwanda wanafeli wapi?
 
Si nasikia pia Rwanda wameanza kuassemble simu zao!!..ukijiuliza Sana hayo Mambo mkuu utapatwa ulcers bure! Wewe fanya kazi uongeze kipato chako Basi!
Kigangwala na usomi wake anawatumia wasanii uchwara kujitangaza...!Kuna mambo yanadhi Sana ukitaka kuitafakari nchi hii
Wasanii uchwara? Wasio uchwara ni wapi?
 
Si nasikia pia Rwanda wameanza kuassemble simu zao!!..ukijiuliza Sana hayo Mambo mkuu utapatwa ulcers bure! Wewe fanya kazi uongeze kipato chako Basi!
Kigangwala na usomi wake anawatumia wasanii uchwara kujitangaza...!Kuna mambo yanadhi Sana ukitaka kuitafakari nchi hii
Mara phones zinatengenezwa na Atlas Mara kampuni kubwa toka Botswana i guess.
 
Back
Top Bottom