Vikwazo vinavyoifanya nchi yetu kuwa maskini ni hivi hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vikwazo vinavyoifanya nchi yetu kuwa maskini ni hivi hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzalendo80, Jun 24, 2011.

 1. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Jibu ni rahisi, Nchi yetu ni mskini kutokana na Viongozi wasio na upeo wakufikiria jinsi ya kutumia rasilimali tulizopewa na Mungu. Mungu ametujaalia kila aina ya resource lakini tumekuwa maskini kutokana na viongozi wasiokuwa na uwezo wakufikiria wao akili zao zipo kwenye Misaada na kujijali wao na kazi zao kusifia nchi za watu kuwa zimejengeka na zina maendeleo, lini utasifia ya kwako?

  Viongozi wetu ndio tatizo la umaskini wetu hasa Kikwete yeye ndege, ndege nay eye hataki hata kufikiria jinsi gani rasilimali zetu tutazitumiaje, kazi yake kuomba tu mpaka anatia aibu huko ughaibuni.

  Mkapa ndio chanzo Ufisadi na kuhalalisha ufisadi nchini akishirikiana na Majambazi wakuu wakina Lowassa, Chenge, Kikwete, Bilali na wengineo wengi hao wote walitakiwa kunyongwa kwa kutuweka hapa tulipo. Kuliingiza Taifa letu kwenye madili ya Kifisadi ya Madini na mikataba mengine ya kijinga, Nchi haina Umeme, Maji wala Barabara.

  Tanzania haita kuwa na maendeleo Mpaka CCM ife ndio tutaona maendeleo ya nchi yetu.
   
Loading...