Vikwazo kwa Zimbabwe viondolewe na pia vikwazo kwa vyama vya upinzani Tanzania viondolewe

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,658
22,254
Ni aibu watanzania kudai nchi za ulaya ziondowe vikwazo kwa Zimbabwe wakati sisi wenyewe tunaviwekea vikwazo vyama vya upinzani nchini kama walivyokuwa wakifanya makaburu Afrika Kusini, Jana tulishuhudia wanaccm wakiipokea ndege yao! Ambayo imenunuliwa kwa pesa za watanzania wote, hii ni sawa na kilichofanyika kwenye Shamba la Wanyama kama alivyotafsiri Mwalimu Nyerere.

Walishangilia kumtoa mkulima mnyonyaji bila kujua kuwa kati yao watakao wapa madaraka ya kuwaongoza watakuja kuwa wabaya zaidi ya yule waliyemuondoa! Waliojibinafsishia ndege iliyonunuliwa kwa pesa zetu walkusanyika na kuanza kuwarushia madongo waliochanga pesa japo hawawataki kwenye kula keki! Hivi Mungu wa watanzania ni mmoja au kuna miungu wengine wa wapinzani?

Na pesa zinazokusanywa na TRA huchambuliwa na kuziondoa za wapinzani kisha hutupwa? Inakuwaje unampenda baniani lakini haukipendi kiatu chake? Kwa hili labda wahenga walikosea. Mnapokula keki ya wote huku mmejifungia hamuoni aibu mnapoona macho ya mliowawekea vikwazo wakiwachungulia madirishani?

Vikwazo kwa Zimbabwe na kwa wapinzani Tanzania viondolewe.
 
Ni aibu watanzania kudai nchi za ulaya ziondowe vikwazo kwa Zimbabwe wakati sisi wenyewe tunaviwekea vikwazo vyama vya upinzani nchini kama walivyokuwa wakifanya makaburu Afrika Kusini, Jana tulishuhudia wanaccm wakiipokea ndege yao! Ambayo imenunuliwa kwa pesa za watanzania wote, hii ni sawa na kilichofanyika kwenye Shamba la Wanyama kama alivyotafsiri Mwalimu Nyerere. Walishangilia kumtoa mkulima mnyonyaji bila kujua kuwa kati yao watakao wapa madaraka ya kuwaongoza watakuja kuwa wabaya zaidi ya yule waliyemuondoa! Waliojibinafsishia ndege iliyonunuliwa kwa pesa zetu walkusanyika na kuanza kuwarushia madongo waliochanga pesa japo hawawataki kwenye kula keki! Hivi Mungu wa watanzania ni mmoja au kuna miungu wengine wa wapinzani? Na pesa zinazokusanywa na TRA huchambuliwa na kuziondoa za wapinzani kisha hutupwa? Inakuwaje unampenda baniani lakini haukipendi kiatu chake? Kwa hili labda wahenga walikosea. Mnapokula keki ya wote huku mmejifungia hamuoni aibu mnapoona macho ya mliowawekea vikwazo wakiwachungulia madirishani?

CHADEMA bwana? Kwani walizuia wapinzani kuungana na watanzania kupokea ndege? Nyie mkizira mnadhani mambo hayataenda? Kwani ndege si ni mali ya umma na watapanda watanzania wote bila kujalj itikadi za chama? Nyie wapinzani uchwara endeleeni kuzira na kupinga kila kitu ni kama kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji
 
kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji
Kelele za chura zinaweza mzuia ng'ombe kuendelea kunywa maji na kumuepusha na madhara mafano kama maji yameshambuliwa na minyoo au yana mabaki ya madawa yanayotumika mashambani. Hivyo hivyo wananchi wakipiga kelele kunanamna serikali (kama ni sikivu) inaweza badilisha msimamo,mipango na vitu vingine kwa maslahi ya afya njema ya Taifa.
 
Ushamba mzigo
CHADEMA bwana? Kwani walizuia wapinzani kuungana na watanzania kupokea ndege? Nyie mkizira mnadhani mambo hayataenda? Kwani ndege si ni mali ya umma na watapanda watanzania wote bila kujalj itikadi za chama? Nyie wapinzani uchwara endeleeni kuzira na kupinga kila kitu ni kama kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji
 
Ni aibu watanzania kudai nchi za ulaya ziondowe vikwazo kwa Zimbabwe wakati sisi wenyewe tunaviwekea vikwazo vyama vya upinzani nchini kama walivyokuwa wakifanya makaburu Afrika Kusini, Jana tulishuhudia wanaccm wakiipokea ndege yao! Ambayo imenunuliwa kwa pesa za watanzania wote, hii ni sawa na kilichofanyika kwenye Shamba la Wanyama kama alivyotafsiri Mwalimu Nyerere. Walishangilia kumtoa mkulima mnyonyaji bila kujua kuwa kati yao watakao wapa madaraka ya kuwaongoza watakuja kuwa wabaya zaidi ya yule waliyemuondoa! Waliojibinafsishia ndege iliyonunuliwa kwa pesa zetu walkusanyika na kuanza kuwarushia madongo waliochanga pesa japo hawawataki kwenye kula keki! Hivi Mungu wa watanzania ni mmoja au kuna miungu wengine wa wapinzani? Na pesa zinazokusanywa na TRA huchambuliwa na kuziondoa za wapinzani kisha hutupwa? Inakuwaje unampenda baniani lakini haukipendi kiatu chake? Kwa hili labda wahenga walikosea. Mnapokula keki ya wote huku mmejifungia hamuoni aibu mnapoona macho ya mliowawekea vikwazo wakiwachungulia madirishani?
Vikwazo kwa Zimbabwe na kwa wapinzani Tanzania viondolewe.
Ni lini wapinzani waliwekewa vikwazo Tanzania? Msishindwe kucheza mpira mkasingizia sheria za soka.
 
Hili nalo ni jipya kumbe wapinzani nao waliwekewa vikwazo. Na nchi gani?????
 
Hivi hizi ndo Sera na hoja zenu kwa Sasa je ikifika 2020 mtakuwa na Cha maana Cha kutueleza Sisi wapiga kura?. Daaaah Kama hizi hoja zako ndo zinawakilisha hoja za wapinzani naomba tu uwafikishie pole zangu mkuu
 
Haujui jeshi la polisi na CCM ndiyo waliowawekea vikwazo na wao ndiyo wameamua kuwa wabunge feki kwenye majimbo ya wapinzani na kupeana fedha za maendeleo nje ya bajeti!
 
Hivi hizi ndo Sera na hoja zenu kwa Sasa je ikifika 2020 mtakuwa na Cha maana Cha kutueleza Sisi wapiga kura?. Daaaah Kama hizi hoja zako ndo zinawakilisha hoja za wapinzani naomba tu uwafikishie pole zangu mkuu
Mkuu kutegemea wanasiasa kukuletea hoja ya maana usahau.
 
Ni aibu watanzania kudai nchi za ulaya ziondowe vikwazo kwa Zimbabwe wakati sisi wenyewe tunaviwekea vikwazo vyama vya upinzani nchini kama walivyokuwa wakifanya makaburu Afrika Kusini, Jana tulishuhudia wanaccm wakiipokea ndege yao! Ambayo imenunuliwa kwa pesa za watanzania wote, hii ni sawa na kilichofanyika kwenye Shamba la Wanyama kama alivyotafsiri Mwalimu Nyerere.

Walishangilia kumtoa mkulima mnyonyaji bila kujua kuwa kati yao watakao wapa madaraka ya kuwaongoza watakuja kuwa wabaya zaidi ya yule waliyemuondoa! Waliojibinafsishia ndege iliyonunuliwa kwa pesa zetu walkusanyika na kuanza kuwarushia madongo waliochanga pesa japo hawawataki kwenye kula keki! Hivi Mungu wa watanzania ni mmoja au kuna miungu wengine wa wapinzani?

Na pesa zinazokusanywa na TRA huchambuliwa na kuziondoa za wapinzani kisha hutupwa? Inakuwaje unampenda baniani lakini haukipendi kiatu chake? Kwa hili labda wahenga walikosea. Mnapokula keki ya wote huku mmejifungia hamuoni aibu mnapoona macho ya mliowawekea vikwazo wakiwachungulia madirishani?

Vikwazo kwa Zimbabwe na kwa wapinzani Tanzania viondolewe.
Naungana mkono na wewe Mkuu, nilimshangaa Philip Mangula aliposema eti ccm inalaani vikwazo ilivyowekewa zimbabwe na kwamba itapambana hadi viondolewe, walioweka vikwazo kwa zimbabwe ni wakubwa wa dunia ambao ndio hutoa pesa zao kusaidia nchi zetu maskini kukamilisha bajeti zake lakini pia misaada ya maendeleo, na tanzania haina uwezo huo wa kuitaka marekani kwa mfano kuondoa vikwazo kwa zimbabwe kwani nayo inajua kwamba inaminya demokrasia, sana sana vikwazo vinaweza kuondolewa zimbabwe vikawekwa tanzania
 
Hivi hizi ndo Sera na hoja zenu kwa Sasa je ikifika 2020 mtakuwa na Cha maana Cha kutueleza Sisi wapiga kura?. Daaaah Kama hizi hoja zako ndo zinawakilisha hoja za wapinzani naomba tu uwafikishie pole zangu mkuu
Wewe uko tayari kuchagua mwendawazimu awe mbunge wako kwa sababu Rais amenunua ndege! Kwa akili hizo Tanzania haitaendelea milele.
 
Ni Bora kuchagua mwendawazimu mkuu hachelewi kurecover na kurudi Hali yake ya kupiga kazi kwa ufasaha. Kuliko kuchagua mhuni mwenye akili ya kipumbavu huyu Ni mtu hatari Sana maana upumbav Ni kapaji Kama vipaji vingine ko mtu wa Aina hii hawezi kuja badilika kwamwe. Na kwakweli kwa Sera zenu hizo mnajidhihilisha wazi kabisa kwetu wapiga kura kuwa bado mna akili za kipumbavu na hamfai kuaminiwa hata kidogo.
 
CHADEMA bwana? Kwani walizuia wapinzani kuungana na watanzania kupokea ndege? Nyie mkizira mnadhani mambo hayataenda? Kwani ndege si ni mali ya umma na watapanda watanzania wote bila kujalj itikadi za chama? Nyie wapinzani uchwara endeleeni kuzira na kupinga kila kitu ni kama kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji
Siyo kuzira.........

Bali wanachukizwa na vijembe na kebehi zinazofanywa na Mwenyekiti wenu aliyejimilikisha nchi hii na kuifanya "his own property"

Analewa madaraka na kujisahau kuwa yeye ni mtumishi wa wananchi, wakiwemo wewe na mimi
 
Ni Bora kuchagua mwendawazimu mkuu hachelewi kurecover na kurudi Hali yake ya kupiga kazi kwa ufasaha. Kuliko kuchagua mhuni mwenye akili ya kipumbavu huyu Ni mtu hatari Sana maana upumbav Ni kapaji Kama vipaji vingine ko mtu wa Aina hii hawezi kuja badilika kwamwe. Na kwakweli kwa Sera zenu hizo mnajidhihilisha wazi kabisa kwetu wapiga kura kuwa bado mna akili za kipumbavu na hamfai kuaminiwa hata kidogo.
Weka hoja badala ya matusi, nijuavyo Magufuli hatagombea chochote kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa, sasa wewe utamchagua mwendawazimu mtaani kwako kwa sababu Magufuli ni Rais wako! Hebu leta matusi mengine.
 
Ni Bora kuchagua mwendawazimu mkuu hachelewi kurecover na kurudi Hali yake ya kupiga kazi kwa ufasaha. Kuliko kuchagua mhuni mwenye akili ya kipumbavu huyu Ni mtu hatari Sana maana upumbav Ni kapaji Kama vipaji vingine ko mtu wa Aina hii hawezi kuja badilika kwamwe. Na kwakweli kwa Sera zenu hizo mnajidhihilisha wazi kabisa kwetu wapiga kura kuwa bado mna akili za kipumbavu na hamfai kuaminiwa hata kidogo.

Kura zipi unazungumzia, zile ambazo wanaccm wanatoka na mabox ya kura kwenda kujaza za ccm kwa uratibu wa vyombo vya dola?

Kwa taarifa yako watanzania wanaoelewa sera hawazidi 10%, wengine wote huchagua kwa rushwa, ujinga, vitisho nk, na ukichangia na tume ya uchaguzi inayotii atakacho rais, basi hapo hamna jipya. Hebu niambie mahali umeona sera zikijadiliwa na wananchi zaidi ya kikundi cha watu kujifungia na kupanga watakacho, kisha kuja kuwahubiria wananchi, tena wananchi wenyewe wakiwa hawana uwezo wa kuhoji chochote.
 
Back
Top Bottom