Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,182
- 3,547
jamani huku kigogo kuna vikundi viwili vya vijana wadogo kuna kundi moja lipo kigogo mwisho wanajiita al queda na kuna kingine kipo kigogo maeneo ya kigogo mbuyuni.....wanajiita panya road....hawa vijana huwa wana tembea na mapanga visu,viwembe,....hawa kazi moja wakikuta njiani ni halali yaoo.... Yani kama simu,pochi wao lazima uwachie chochote....yaani wanaiba na wanakaba watu hadharanii mchana kweupe....
Juzi eneo la kigogo festini ambalo sasa hivi linajulikana kama mahakama ya simu kuna mchina...alikabwa mchana kweupe....aliporwa simu...live .. Kuna mtu nilimuuliza inakuwaje wale vijana wanafanya uhalifuu watu wanaangalia aliniambia hawa vijana wanafahamika....na hadi ma kwao ....na wazaziii waoo
najiuliza ivii serikali iko wapi jamani...hali mbona mbayaaa