Vikundi vya Panya Road na Al Queda vinazidi kuwa tishio Kigogo Dar, serekali iko wapi?

Jana 23 may 2014 saa 1.30 ihi wamenyang'anya, wamekaba na kuiba wananchi maeneo ya karume. ni vijana wadogo lkn ni hatari sana usiombe kukutana nao

jamani huku kigogo kuna vikundi viwili vya vijana wadogo kuna kundi moja lipo kigogo mwisho wanajiita al queda na kuna kingine kipo kigogo maeneo ya kigogo mbuyuni.....wanajiita panya road....hawa vijana huwa wana tembea na mapanga visu,viwembe,....hawa kazi moja wakikuta njiani ni halali yaoo.... Yani kama simu,pochi wao lazima uwachie chochote....yaani wanaiba na wanakaba watu hadharanii mchana kweupe....

Juzi eneo la kigogo festini ambalo sasa hivi linajulikana kama mahakama ya simu kuna mchina...alikabwa mchana kweupe....aliporwa simu...live .. Kuna mtu nilimuuliza inakuwaje wale vijana wanafanya uhalifuu watu wanaangalia aliniambia hawa vijana wanafahamika....na hadi ma kwao ....na wazaziii waoo

najiuliza ivii serikali iko wapi jamani...hali mbona mbayaaa


 
wale mbwa mwitu wengi wao walikimbilia kigogo na mburahati naona wameenda kuanzisha tena makundi mengine huko hii ni hatari
 
NIupumbavu wa wakazi wa maeoneo hayo,mimi nakumbuka hapa Mwanza miaka ya 2006-2009 hivi vilikuepo vikundi vya namna hii na viliwasumbua watu kweli,nadhani kila mtaa kilikuepo kikundi flani...nahao watoto ilikuwa style hii hii kuwa watu wanawajua mpaka makwao lakini wote ikawa niuoga kwa kwenda mbele,lakini waliibuka wapenda amani wakashirikiana na jeshi la polisi hivi vikundi vilipotea ndani ya muda mfupi kuliko vilivyo kuwa vimeshamiri kwa kipindi kirefu,nachotaka kushauri nikuwa ikiwa wanyeviti wamitaa hiyo hawana maslahi au uoga wakuchukiwa na familia za hao watoto basi atoe taarifa polisi nao wafanye ambush kila kijiwe wanacho kaa najua mwenyekiti anafahamu machimbo yao yote,nakuhakikishia ndani ya wiki mbili mtaa utakuwa salama..Huku Mwanza ulikuwa ushirikiano kati ya OCD wa Ilemela wakati huo mama Matola na wenyeviti wa mitaa yote katika wilaya hii na ilisaidia sana kwani kila aliekuwa nanakamatwa alikuwa anapewa kesi ya robbery pia wengi walinyimwa dhamana mpaka walipo maliza mwezi jela,pia wengi wa hwa vijana wanaofanya haya mambo utakuta nivitoto vya darasa la saba sekondari labda na wakubwa wao kadhaa ambao nao sio wakubwa labda miaka 25 hivi.....Hilo nijukumu la wanataa kusafisha hivyo vikundi n sio kulishambulia jeshi la polisi halifanyi kazi wakati wahalifu tunawaficha majumbani mwetu

umenikumbusha watengwa..marehem juma chidi, mampilipili, maiko power dah ilikua n shida
 
Ok wamejiajiri kwenye wizi.

Watanzania wengi tuna tatizo la kuwa waoga sana.

Huwa tunakubali kupelekeshwa kirahisi sana.

Mfano mimi huwa nashangaa kwenye daladala kondakta mmoja anavyowafosi abiria waliosimama kubanana kama mzigo kwenye fuso na wanakubali.

Sasa na hawa mbwa ni kwamba tumewakubali, tunawachekelea, tunawapa vichwa na tunawaruhusu wafanye wanayofanya.

Ujinga unatawala miongoni mwa wananchi na baadhi ya viongozi kwa kushidwa kubuni mbinu za kulinda jamii husika dhidi ya majanga kama hayo ya kuzuka kwa mbwa.

Suala hili wala ilikuwa hakuna haja ya kuomba msaada toka kwa Kova, ilitakiwa Kova apate tu taarifa jinsi mbwa wanavyoteketezwa kwa moto.
 
niupumbavu wa wakazi wa maeoneo hayo,mimi nakumbuka hapa mwanza miaka ya 2006-2009 hivi vilikuepo vikundi vya namna hii na viliwasumbua watu kweli,nadhani kila mtaa kilikuepo kikundi flani...nahao watoto ilikuwa style hii hii kuwa watu wanawajua mpaka makwao lakini wote ikawa niuoga kwa kwenda mbele,lakini waliibuka wapenda amani wakashirikiana na jeshi la polisi hivi vikundi vilipotea ndani ya muda mfupi kuliko vilivyo kuwa vimeshamiri kwa kipindi kirefu,nachotaka kushauri nikuwa ikiwa wanyeviti wamitaa hiyo hawana maslahi au uoga wakuchukiwa na familia za hao watoto basi atoe taarifa polisi nao wafanye ambush kila kijiwe wanacho kaa najua mwenyekiti anafahamu machimbo yao yote,nakuhakikishia ndani ya wiki mbili mtaa utakuwa salama..huku mwanza ulikuwa ushirikiano kati ya ocd wa ilemela wakati huo mama matola na wenyeviti wa mitaa yote katika wilaya hii na ilisaidia sana kwani kila aliekuwa nanakamatwa alikuwa anapewa kesi ya robbery pia wengi walinyimwa dhamana mpaka walipo maliza mwezi jela,pia wengi wa hwa vijana wanaofanya haya mambo utakuta nivitoto vya darasa la saba sekondari labda na wakubwa wao kadhaa ambao nao sio wakubwa labda miaka 25 hivi.....hilo nijukumu la wanataa kusafisha hivyo vikundi n sio kulishambulia jeshi la polisi halifanyi kazi wakati wahalifu tunawaficha majumbani mwetu

mkuu umenikumbusha mavempire
pimpili rolaizer--joker man
watengwa--juma chidi
x2 faranga--chepe
phanta migo---h.pova
mgf---chogo
wakarasinga--d.e
manyampala--chizo
 
tatizo nii,, BEI.., YA MKAA, BEI YA MKAA.

vijana hawana ajira, viongozi wanasanuka tu. What d u expect.
 
tatizo nii,, BEI.., YA MKAA, BEI YA MKAA.

vijana hawana ajira, viongozi wanasanuka tu. What d u expect.

Sasa siwakawaibie hao wanaosanuka, kuna viongozi wangapi wanakaa kigogo, mburahati, Kiwalani? Mbona hayo maeneo walio wengi ni maskini wenzao wanahanaika kutafuta riziki zao,
uhalifu ni uhalifu hata kama hakuna ajira.
 
mkuu umenikumbusha mavempire
pimpili rolaizer--joker man
watengwa--juma chidi
x2 faranga--chepe
phanta migo---h.pova
mgf---chogo
wakarasinga--d.e
manyampala--chizo[/QUOT
Wote hao walikuwa hawafiki kwa Watengwa chini ya uongozi wa Mamie a.k.a Michael power
 
Back
Top Bottom