Vikundi vya Panya Road na Al Queda vinazidi kuwa tishio Kigogo Dar, serekali iko wapi?

C Programming

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
2,965
2,000
jamani huku kigogo kuna vikundi viwili vya vijana wadogo kuna kundi moja lipo kigogo mwisho wanajiita al queda na kuna kingine kipo kigogo maeneo ya kigogo mbuyuni.....wanajiita panya road....hawa vijana huwa wana tembea na mapanga visu,viwembe,....hawa kazi moja wakikuta njiani ni halali yaoo.... Yani kama simu,pochi wao lazima uwachie chochote....yaani wanaiba na wanakaba watu hadharanii mchana kweupe....

Juzi eneo la kigogo festini ambalo sasa hivi linajulikana kama mahakama ya simu kuna mchina...alikabwa mchana kweupe....aliporwa simu...live .. Kuna mtu nilimuuliza inakuwaje wale vijana wanafanya uhalifuu watu wanaangalia aliniambia hawa vijana wanafahamika....na hadi ma kwao ....na wazaziii waoo

najiuliza ivii serikali iko wapi jamani...hali mbona mbayaaa

lyinga

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
2,498
0
jamani huku kigogo kuna vikundi viwili vya vijana wadogo kuna kundi moja lipo kigogo mwisho wanajiita al queda na kuna kingine kipo kigogo maeneo ya kigogo mbuyuni.....wanajiita panya road....hawa vijana huwa wana tembea na mapanga visu,viwembe,....hawa kazi moja wakikuta njiani ni halali yaoo.... Yani kama simu,pochi wao lazima uwachie chochote....yaani wanaiba na wanakaba watu hadharanii mchana kweupe....

Juzi eneo la kigogo festini ambalo sasa hivi linajulikana kama mahakama ya simu kuna mchina...alikabwa mchana kweupe....aliporwa simu...live .. Kuna mtu nilimuuliza inakuwaje wale vijana wanafanya uhalifuu watu wanaangalia aliniambia hawa vijana wanafahamika....na hadi ma kwao ....na wazaziii waoo

najiuliza ivii serikali iko wapi jamani...hali mbona mbayaaaNchi ishauzwa na mshuwa imebaki tu aliyenunua kutoa amri ya wambele arudi nyuma na wa nyuma aende mbele tutajibeba mpaka Yesu atakaporudi.
 
SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,509
2,000
Yan ni hatar na polisi wa kigogo post na luhanga wameshashindwa kudhibiti haya makundi,kova endesha oparesheni maalumu ya mchana na usiku maeneo ya kigogo mwembe jando,kigogo first inn na kigogo luhanga kudhibiti hawa watoto kwani ni tishio kwa wanaojilaw kudamka na wanaorud toka makazin kuanzia mida ya sa 5 usiku.
 
DAAA yanii saivi mkubwa POLISI WA KOGOGO WAMESHA SURRENDER.....
 
Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
14,022
2,000
Embu nendeni kule Kiwalani mkapate Seminar Elekezi jinsi ya ku-deals na hao fukunyuku. Ushawasikia tena habari za wale Mbwa Mwitu wa Kiwalani?kwisha habari yao,mara ya mwisho walichomwa Moto wa3 kwa mara moja Mchana kweupe kabisa,ndio habari yao ilipoishia hapo.
 
Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,706
2,000
jamani huku kigogo kuna vikundi viwili vya vijana wadogo kuna kundi moja lipo kigogo mwisho wanajiita al queda na kuna kingine kipo kigogo maeneo ya kigogo mbuyuni.....wanajiita panya road....hawa vijana huwa wana tembea na mapanga visu,viwembe,....hawa kazi moja wakikuta njiani ni halali yaoo.... Yani kama simu,pochi wao lazima uwachie chochote....yaani wanaiba na wanakaba watu hadharanii mchana kweupe....

Juzi eneo la kigogo festini ambalo sasa hivi linajulikana kama mahakama ya simu kuna mchina...alikabwa mchana kweupe....aliporwa simu...live .. Kuna mtu nilimuuliza inakuwaje wale vijana wanafanya uhalifuu watu wanaangalia aliniambia hawa vijana wanafahamika....na hadi ma kwao ....na wazaziii waoo

najiuliza ivii serikali iko wapi jamani...hali mbona mbayaaawachomeni moto mbele ya mama zao kama walivyofanywa komando yoso.
 
KOLOKOLONI

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
1,777
2,000
Kiukweli hapo kigogo hakuna ulinzi shirikishi mbaya zaidi hata viongozi wa mtaa wanawapendelea waalifu waziwazi maana hata wakikamatwa na polisi viongozi wa mtaa huenda kuwakingia vifua kuwa hao ni watu safi kabisa. Pia watu wengi waishio maeneo hayo huwa hawana kabisa urafiki na walinzi wa nchi maana nilishuhudia askari kakamata muhalifu halifu watu wote wanataka kumsaidia muhalifu atoroke. Paleni sana watu wageni kigogo maana mmeingia mtaa wenye vijana wengi wanaojiari kwa kutumia mapanga na roba.
 
Chadema na Cuf hao.
 
Qualifier

JF-Expert Member
Dec 14, 2012
1,253
1,225
Chama tawala wakati kina omba ridhaa ya kuongoza nchi kutoka kwa wananchi kiliahidi kuongeza ajira kwa vijana hiyo ni moja ya ajira iliyotolewa na serikali kwahiyo haiwezi kuzuia itakuwa kama inajipinga yenyewe
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
40,643
2,000
jamani huku kigogo kuna vikundi viwili vya vijana wadogo kuna kundi moja lipo kigogo mwisho wanajiita al queda na kuna kingine kipo kigogo maeneo ya kigogo mbuyuni.....wanajiita panya road....hawa vijana huwa wana tembea na mapanga visu,viwembe,....hawa kazi moja wakikuta njiani ni halali yaoo.... Yani kama simu,pochi wao lazima uwachie chochote....yaani wanaiba na wanakaba watu hadharanii mchana kweupe....

Juzi eneo la kigogo festini ambalo sasa hivi linajulikana kama mahakama ya simu kuna mchina...alikabwa mchana kweupe....aliporwa simu...live .. Kuna mtu nilimuuliza inakuwaje wale vijana wanafanya uhalifuu watu wanaangalia aliniambia hawa vijana wanafahamika....na hadi ma kwao ....na wazaziii waoo

najiuliza ivii serikali iko wapi jamani...hali mbona mbayaaabado tu mnaisubiri serikali??!!mnatakiwa MU-APPLY SELF DEFENSE.
 
INGENJA

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
5,004
2,000
jamani huku kigogo kuna vikundi viwili vya vijana wadogo kuna kundi moja lipo kigogo mwisho wanajiita al queda na kuna kingine kipo kigogo maeneo ya kigogo mbuyuni.....wanajiita panya road....hawa vijana huwa wana tembea na mapanga visu,viwembe,....hawa kazi moja wakikuta njiani ni halali yaoo.... Yani kama simu,pochi wao lazima uwachie chochote....yaani wanaiba na wanakaba watu hadharanii mchana kweupe....

Juzi eneo la kigogo festini ambalo sasa hivi linajulikana kama mahakama ya simu kuna mchina...alikabwa mchana kweupe....aliporwa simu...live .. Kuna mtu nilimuuliza inakuwaje wale vijana wanafanya uhalifuu watu wanaangalia aliniambia hawa vijana wanafahamika....na hadi ma kwao ....na wazaziii waoo

najiuliza ivii serikali iko wapi jamani...hali mbona mbayaaaNIupumbavu wa wakazi wa maeoneo hayo,mimi nakumbuka hapa Mwanza miaka ya 2006-2009 hivi vilikuepo vikundi vya namna hii na viliwasumbua watu kweli,nadhani kila mtaa kilikuepo kikundi flani...nahao watoto ilikuwa style hii hii kuwa watu wanawajua mpaka makwao lakini wote ikawa niuoga kwa kwenda mbele,lakini waliibuka wapenda amani wakashirikiana na jeshi la polisi hivi vikundi vilipotea ndani ya muda mfupi kuliko vilivyo kuwa vimeshamiri kwa kipindi kirefu,nachotaka kushauri nikuwa ikiwa wanyeviti wamitaa hiyo hawana maslahi au uoga wakuchukiwa na familia za hao watoto basi atoe taarifa polisi nao wafanye ambush kila kijiwe wanacho kaa najua mwenyekiti anafahamu machimbo yao yote,nakuhakikishia ndani ya wiki mbili mtaa utakuwa salama..Huku Mwanza ulikuwa ushirikiano kati ya OCD wa Ilemela wakati huo mama Matola na wenyeviti wa mitaa yote katika wilaya hii na ilisaidia sana kwani kila aliekuwa nanakamatwa alikuwa anapewa kesi ya robbery pia wengi walinyimwa dhamana mpaka walipo maliza mwezi jela,pia wengi wa hwa vijana wanaofanya haya mambo utakuta nivitoto vya darasa la saba sekondari labda na wakubwa wao kadhaa ambao nao sio wakubwa labda miaka 25 hivi.....Hilo nijukumu la wanataa kusafisha hivyo vikundi n sio kulishambulia jeshi la polisi halifanyi kazi wakati wahalifu tunawaficha majumbani mwetu
 
doama

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
756
1,000
Kwa taarifa nilizopata hivi punde watu wanafunga maduka na kukimbia maeneo ya kigogo kuelekea Msimbazi senta
Na magari yanageuka hayaendi huko walioko upande huo hebu watujuze. Aliyenipa taarifa anasema ni haohao watoto wa mbwa. Sielewi kova na timu yake wanafanya nini
 
C Programming

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
2,965
2,000
Kwa taarifa nilizopata hivi punde watu wanafunga maduka na kukimbia maeneo ya kigogo kuelekea Msimbazi senta
Na magari yanageuka hayaendi huko walioko upande huo hebu watujuze. Aliyenipa taarifa anasema ni haohao watoto wa mbwa. Sielewi kova na timu yake wanafanya nini

hiyoo ni kweli mkuuu.....maeneo ya mkwajuni kuna vurugu kubwa leoo
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
49,920
2,000
Kwa taarifa nilizopata hivi punde watu wanafunga maduka na kukimbia maeneo ya kigogo kuelekea Msimbazi senta
Na magari yanageuka hayaendi huko walioko upande huo hebu watujuze. Aliyenipa taarifa anasema ni haohao watoto wa mbwa. Sielewi kova na timu yake wanafanya nini

kovaaaa anajuaaaa kuongeaa kwenyw tv tuuuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom