Vikundi vya haki za binadamu vyatoa dukuduku lao kuhusu kuuwawa kwa watuhumiwa wa uhalifu

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,629
34,172
IMG_20160704_045407.jpg

==============================================
============================
Rights groups voice concern on shooting of crime suspects

Human rights groups have expressed concern over the disturbing rise in extrajudicial killings.

Last week alone five suspected bandits were gunned down by police officers, two in Dar es Salaam and three in Tanga. The five are alleged to have masterminded and participated in recent attacks that ended the lives of scores of people in some parts of the country.
Sina USEMI?
 
Hawa watu ni wa ajabu huo pia ndio msimamo wa CHADEMA.Kuwa haki za binadamu zizingatiwe kabla ya kuua majambazi.

Wameibuka wote na matamko makali kuanzia CHADEMA hadi akina bisimba.

Wakati watu wanachinjwa kama kuku hawakutoa tamko wala kuita vyombo vya habari.Watu wa aina moja huenda pamoja ninadhani hawa ni watetezi wa majambazi ,wanaotumbuliwa na mafisadi tu.

Mwenyezi Mungu awalaani kwa kuwa watetezi wakubwa wa chinja chinja na sio WALE waliochinjwa
 
Walotunga sheria za watu kufikishwa mahakani sio wajinga,kama watu watakuwa wanauwawa kwanini mh rais alipeleka bilon 12 kwenye mahakama zikafanye nn?
 
Wapigwe risasi tu, wananchi tumechoka kusikia habari za majambazi wanaua watu na kupora mali za watu
 
Ujkifanya kosa la ujambazi inatakiwa uwawe,jebkosa la kungona mtu na gari?
 
Huyu sina hakika kama yuko sawa,watu wamechinjwa hakutoa tamko jambazi kauwawa anatoa tamko la kulaani,hahahhahaha jaman hii nchi ina maajabu sana.
 
Haangalii taarifa za habari. Wananchi walishuhudia majambazi yakirusha risasi kwa polisi.
 
Hivi vitu vinahitaji uelewa wa hali ya juu kumuelewa bi. Simba... Otherwise ukikurupuka huwezi kumuelewa hata kidogo. Angalieni mbali msiangalie hapa karibu
 
Waachie majambazi siku moja wapige hodi kwake, ndo atajua majambazi ni kitu gani.
 
Back
Top Bottom