Vikosi vya waasi vyakomboa miji mitatu mikubwa kutoka utawala wa Taliban

Hata hao mujahedeen (Taliban) yeye ndio aliwapa mafunzo na support wale wakati wanapambana kujiondoa USSR.
USA ni watu wanaohangaikia maslahi yao binfsi na sio usalama wala maendeleo ya dunia. Wawachezesha watu kama kete za draft
US CIA aliwasaidia sana Mujahedeen kupambana na USSR,Na mujahedeen baadae utawala wao ulikuja kupinduliwa mwishoni na Taliban
 
Hii aya isipo futwa ni Tutazamie Maafa Makubwa duniani

وَلَكُمْ فِي الْقِصَاصِ حَيَاةٌ يَا أُولِي الْأَلْبَابِ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ

[ AL - BAQARA - 179 ]
Mtakuwa nao uhai mzuri katika kulipiza kisasi enyi wenye akili, ili msalimike.
 
Kama ISIS kaingiza mguu wake huko, basi naanza kuelewa kwa nini USA taratibu kaanza kuondoka Afghan...

Huenda ameshanusa kuwepo wa vita isiyokoma leo wala kesho...
Hao sio ni ISIS-K ambao ni Afghans?
 
Hata huku kwetu huwa wanatamani kuleta chokochoko ila wanaishia kula virungu tu
acheni ufala.
Si kila anaejiita muislam basi ni mfuasi wa Muhammad.
Uislam una taratibu zake,musiuhukumu uislam kwa matendo ya kijinga ya baadhi ya waislam.
Kuna uislam na waislam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom