Vikosi vya Uturuki vyashambuliwa na Urusi nchini Syria

Mambo sio mazuri kwa huyu bwana wa Uturuki, kupoteza vita hivi ni hatari kwake, awe makini la sivyo atang'olewa madarakani....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi mambo yalivyo,Edorgan hana muda mrefu madarakani,hasa ikizingatiwa kwamba kuwepo kwa jeshi la Uturuki Syria linalenga kulinda maslahi binafsi ya Tayyip Edorgan, hasa wizi wa mafuta,unaofanywa kwa kushirikiana na Marekani na kabla ya hapo na vikundi vya kigaidi kama ISIS na baadae al-Nusra.Edorgan kwa ujumla ni jambazi.

Hali hii na crackdown aliyoifanya baada ya jaribio la kumng'oa madarakani hailifurahishi jeshi la Uturuki,kwa hivyo uwezekano wa yeye kupinduliwa na jeshi ni mkubwa mno.
 
The Syrian Arab Army.

I repeat, The Syrian Arab Army will go down in history as the first army to ever defeat global-backed terrorism, a CIA regime-change plot and the second largest NATO Army.

Syria is not negotiable. Syria is for the Syrians.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom