Vikosi vya Marekani vyazuia Jeshi la Urusi kuingia kwenye Visima vya Mafuta Kaskazini mwa Syria

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,839
38,728
Naona hapo Sytia Kazi kubwa ya Russia ni kulinda mabua huku wenzake Marekani na Wakurdi wakijichotea Mafuta.
Screenshot_20200121-225736.jpeg
Screenshot_20200121-225812.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya ngumi ni Russia ndio walikimbia na pia wala haihusiani na hii.
NB: Kama Wamarekani walichezea kichapo mbona Russia hakuteka hivyo Visima na kujimilikisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana, la juzi Ni tukio la pili Kama SI la tatu,
Tukio la kwanza zilipigwa ngumi na wamarekani walichezea kipondo,mrusi alikua anapita tu hakuwa akienda kwenye kisima Cha mafuta,
Wakati wa Vita Kuna makubaliano waliwekeana warusi mwisho wao I we masharika ya mto frati,wamarekani wawe magharibi mean mto I'll wasiingiliane kea bahati mbaya.
Mturuki akaingia kaskazini,Sasa Kuna maeneo marekani aliondoka ili kuwapisha waturuki kwani hakutaka kuingia vitani na mwana NATO mwenzie,
Hayo maeneo mrusi akatake cover,kabla mrusi hajachukua sehemu kubwa marekani wakashituka na kurudi faster,
Sasa Kuna maeneo mrusi ili apite lazima avuke roadblock za wamarekani ndo kisa kinaanzia hapo
 
Haya majamaa yana akili sana yaani yanapangiana kabisa namna ya kuneemeka na rasilimali za syria hadi raha

Kula kwa nafasi yaani ni washikaji

Inamaana marekani anachimba mafuta nchi ya watu na anayauza hela inakuwa yake??

Kwahiyo wao wanatutengenezea silaha ili tuuwane afu wao wakiingia kwenye tifu tifu wanaweka silaha chini wanaanza kuzichapa kwa mkono yaan kavu kavu?

Duh wahuni siyo watu

Lakin nina uhakika hawa jamaa Russia na USA lao moja

Maana haiwwekani mchapane makonde tu bila kutupiana hata risasi moja

Alafu yalivyo mashenzi ya lagos yametutengenezea silaha ili tuuwane alafu menyewe hata hayazitumii yanachapana kwa mkono yaan kavu kavu

Yakiwa yameweka silaha chini

Haya majamaa ni majanja sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee ttzo lao wanachuki na waarabu na waislam tu si jengine

All Is Well

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza kuwa si chuki ya kidini bali kizazi hiki ni kilichopotoka na kuwa brainwashed tu , alifanyalo mzungu akilipa jina tu wanashangilia ili taifa liendelee na kufikia maendeleo na ustaarabu wa juu linatakiwa lipitie njia nane ya awali ni kutoka kwanza utumwani tungali utumwani utumwa Kifikira utumwa toka kwa watawala ambao nao wako utumwani kwa mataifa makubwa
 
Kwahiyo wao wanatutengenezea silaha ili tuuwane afu wao wakiingia kwenye tifu tifu wanaweka silaha chini wanaanza kuzichapa kwa mkono yaan kavu kavu?

Duh wahuni siyo watu

Lakin nina uhakika hawa jamaa Russia na USA lao moja

Maana haiwwekani mchapane makonde tu bila kutupiana hata risasi moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Displine,,hawawezi kamwe kufyatua silaha bila kupewa amri ya kufanya hivyo na wakubwa wao.
Vilevile wakubwa wao wanajua risk ya hizo nchi kuingia vitani
 
Jeshi la syria limepotelea wapi?
Lipo Sana ,Trump mwenyewe ndo alijichanganya,baada ya uturuki kuvamia kaskazini mashariki mean Syria,marekani waliamua kuondoa Askari wao Syria kuepusha mgongano na uturuki,
Syria na urusi wakaanza kuingia maeneo ambayo Askari wa marekani walikuwa wanaayaacha.
Mmojawapo Ni eneo la Al Tamr,
Baadae Trump akalaumiwa kea kuondoa Askari Syria,akabadili mawazo wiki hiyohiyo Askari wakaanza kurudi Syria,
Wakakuta baadhi ya sehemu walizoachia Kuna Askari ya Russia na Syria,
Ila Sasa ili kufika Al Tamr,magari ya patrol ya urusi lazima yapitie roadblock ya mmarekani,
 
Back
Top Bottom