Vikosi hivi itakuwaje bunge lijalo??

Duh, Mrema kaingiaje kwenye kikosi cha CHADEMA? Nina wasiwasi atauza mechi huyo.
 
Chenge kajichenga mwenyeweeeeeeee, nani ampe fisadi hasidi huyo, anataka kulinda mafisadi wenzake kina Lowasa na wengine.
 
attachment.php


Hapo ndiyo unagundua kuwa kwa Tanzania kuna umuhimu kuwa na Vichaa kama Lema wa Arusha.

Huku Sugu atakuwa akisugua vichwa vya wenye kulala. Huku nyuma, Lisu atakuwa akicheza nafasi ya Senna wa Spain. Kocha wa Upinzania atakuwa ni Mwenye Dr wa PhD Slaa. Captain Mbowe atahakikisha anaibeba timu yake vizuri na wafungaji magoli akina Zitto na mwenzie Kafulila wataliza watu si kawaida.

Slaa kuwa Kipa sidhani maana hatacheza. Yeye atabaki kuwa Kocha wao............. Patamu hapo.
 
ukitaka panuke spika awe rostam au lowasa,hakika ngumi zitarushwa.
 
Mimi nimecheka tu hiyo picha ya fisadi Rostam Aziz, kichwa cha kigobachori lakini kiwiliwili cha jamaa wa mwanerumango perfect dye
 
Mimi nimecheka tu hiyo picha ya fisadi Rostam Aziz, kichwa cha kigobachori lakini kiwiliwili cha jamaa wa mwanerumango perfect dye

Dr.slaa kuingia bungeni kwa sasa labda avalie kama masister ,bila ivo 4get it.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom