VikongweEAC1967-77
Member
- Feb 16, 2017
- 6
- 4
Juni 30, 2017 Watanzania zaidi ya 17,000 watatimiza miaka 40 tangia wavunjiwe ajira zao [abolition of office] na kulianza zimwi la "mafao sahihi" linaloendelea kuwatafuna mmoja mmoja!
Serikali za Awamu I na II zilidiriki kujinai Hifadhi ya Pensheni ya Vikongwe hawa toka Benki Kuu za Uingereza [BoE, £14,000,000] n.a. Tanzania [BoT, T.Sh 200,000,000/=] kwa kisingizio cha kujinusuru toka ICU, uchumi ulipochungulia kaburi!
Serikali hizo ziliondoka madarakani na zisiwe na ule uungwana wa kulirejesha deni hilo la mafao ya Vikongwe!
Mkapa, katika Hotuba yake ya mwisho ya Mei Mosi mjini Songea, alikiri uwepo wa demo hilo ambalo alisema likifikia T.Sh 450b/= kwa maeneo 12 yaliyofikiwa muafaka na KAMATI YA PAMOJA ya Wajumbe 10 toka upande wa Mdaiwa [Serikali] na 10 waliotokea upande wa Wadai, iliyoendeshwa chni yake Bw Ramadhani Khijah, akiwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha wakati huo.
Mkapa akathibitisha maeneo mengine 4 nayo yangelifikiwa muafaka, ajabu alipotoka Songea akaivunja KAMATI na maeneo 4 hayakujadiliwa tena hadi you leo!
Mkapa, baada ya Songea, akaagiza iandikwe na Chemba za Mwanasheria Mkuu DEED OF SETTLEMENT ya kitapeli, ikipunja kwa karibu ya 90% mafao SAHIHI, na akalipa T.Sh 117b/= na kukenua virago Ikulu na kujieneza Lushoto kusubiria mafao take manono!
Kikwete aliingia na gia ya kuwamalizia kero ya mafao Vikongwe hawa ndani ya miezi 6 tu na akazoa kura zao mwaka 2005! Na baada ya kuapishwa, Kikwete hakutaka tena kulisikia swala la madai ya mafao ya pensheni na hata pale Vikongwe walimfuata mara kadhaa Ikulu kukumbushia ahadi yake!
Ingawa ujio wake Dkt John Joseph Pombe Magufuli, Rais wa Awamu V, ulipokelewa kwa shangwe nao Vikongwe, sasa nyoyo ask zimeingiwa na ganzi, zikimuona Rais Mpya kutotofautiana na waliomtangulia!
Hajataka kuondoka hata majibu ya magari mmoja kwa barua amekuwa akiandikiwa kumsihi alirejee upya swala hili kongwe la madai!
Majuzi juzi Vikongwe hawa wamemuwakilishia PETITION aitengue Deed of Settlement ya kitapeli ya Mkapa na Ikulu haijawa na uungwana wa kuandika jibu!
Magufuli ni 'mkombozi' wa Wanyonge wapi sasa?
Mayenga Mabula Mbuzah,
Katibu-Mratibu,
New Ex-EAC Workers' Alliance-Tanzania [NEEWAT].