Vikao vya Kamati ya Misiba ya Kitaifa hulipwa posho? Kwanini miili ya viongozi taifa huhifadhiwa Lugalo badala ya MNH?

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Mwenye ufafanuzi atujuze;

1. Ikiwa hospital ya Muhimbili ni hospital ya TAIFA ipi sababu ya kuhifadhi mwili wa viongozi wa kitaifa hospital ya Lugalo?
2. Je, Vikao vya maandalizi/kamati ya misiba ya kitaifa hulipwa posho?
3. Ni misiba ya viongozi gani inastahili kuitwa msiba ya kitaifa

Mwenye ufafanuzi majibu tafadhari!
 
1. Lugalo kikubwa ni ulinzi na utulivu wa hali ya juu eneo lile. Muhimbili mortuary yake haina utulivu na sio salama sana kama ilivyo lugalo.

Ifahamike kuwa moja kati ya hospitali ambazo ni za kawaida kabisa basi moja wapo ni Lugalo, vifaa, huduma, madokta n.k ni kawaida kabisa.

Hii Hospital isingekuwa ni hiyo mortuary hata jina hilo la Lugalo Hospital lisingesikika.
 
Mortuary ya muhimbili ipo busy Sana kushinda lugalo, akifa mtu mashuhuri lugalo huwa ni sehemu sahihi kuhifafhi maiti ,

Sent
 
Mwenye ufafanuzi atujuze;

1. Ikiwa hospital ya Muhimbili ni hospital ya TAIFA ipi sababu ya kuhifadhi mwili wa viongozi wa kitaifa hospital ya Lugalo?
2. Je, Vikao vya maandalizi/kamati ya misiba ya kitaifa hulipwa posho?
3. Ni misiba ya viongozi gani inastahili kuitwa msiba ya kitaifa

Mwenye ufafanuzi majibu tafadhari!
Hospitali ya Lugalo ni ya Jeshi na Kijitonyama ni ya TISS, viongozi hata wakiumwa na mafua hutibiwa kijitoonyama yaani TISS.
Wakizidiwa hupelekwa .
Kuna sheria ianyosema misiba ya kitaifa na isiyo ya kitaifa. Mfano Bashite akifa siyo msiba wa kitaifa.
Poshoya kikao cha msib ni kubwa sana, nashindwa kukutajia hapa, utachanganyikiwa.
 
posho haina kiwango?
 
Miili yao huhifadhiwa Lugalo

Maradhi yao hutibiwa Kijitonyama

Zote ni kwa sababu za usalama

Hata Dr Omar Makamu wa Mkapa nae alifariki mwezi wa saba kama Mkapa na kwa ugonjwa unaofanana nae alihifadhiwa Lugalo

Viongoz hapo wapo kazini na posho zipo kama kawaida
 
Aisee
 
ili kujua kiwango cha posho inabidi kwanza ujue wahusika
na baada ya kutambua ndo utajua aidha posho ni mlima au haipo kabisa
 
1. Lugalo kikubwa ni ulinzi na utulivu wa hali ya juu eneo lile.
Muhimbili mortuary yake haina utulivu na sio salama sana kama ilivyo lugalo.

Ifahamike kuwa moja kati ya hospitali ambazo ni za kawaida kabisa basi moja wapo ni Lugalo, vifaa, huduma, madokta n.k ni kawaida kabisa.

Hii Hospital isingekuwa ni hiyo mortuary hata jina hilo la Lugalo Hospital lisingesikika.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
nilikuwa najua Lugalo ni boonge moja la hospitali ya kijeshi, full equipments, full battle, yaani ni full makila kitu.
 
Ushawahi kufika lugalo? Kwa mara ya kwanza naifahamu Lugalo ilikuwa 2019, nikaingia kwa miguu yangu, nikaona kww macho yangu, mwanzo wa Hospital mpaka mwisho.

Kwangu TMJ, Regency n.k zimeiacha mbali mno hii Lugalo, kilichonichosha zaidi ya wahudumu wake, wana ufahamu wa kawaida mno, sio madokta haswa.

Ninasema sio madokta haswa sababu ninajua mawili matatu kuhusu afya ya mwanadamu.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Mwenye ufafanuzi atujuze;

1. Ikiwa hospital ya Muhimbili ni hospital ya TAIFA ipi sababu ya kuhifadhi mwili wa viongozi wa kitaifa hospital ya Lugalo?
2. Je, Vikao vya maandalizi/kamati ya misiba ya kitaifa hulipwa posho?
3. Ni misiba ya viongozi gani inastahili kuitwa msiba ya kitaifa

Mwenye ufafanuzi majibu tafadhari!
Ndipo mahali panausiri mkubwa pili ukumbuke alikuwa Amiri jeshi mkuu was majeshi yote. End
 
Back
Top Bottom