Vikao vya Kamati ya Misiba ya Kitaifa hulipwa posho? Kwanini miili ya viongozi taifa huhifadhiwa Lugalo badala ya MNH?

1. Lugalo kikubwa ni ulinzi na utulivu wa hali ya juu eneo lile.
Muhimbili mortuary yake haina utulivu na sio salama sana kama ilivyo lugalo.

Ifahamike kuwa moja kati ya hospitali ambazo ni za kawaida kabisa basi moja wapo ni Lugalo, vifaa, huduma, madokta n.k ni kawaida kabisa.

Hii Hospital isingekuwa ni hiyo mortuary hata jina hilo la Lugalo Hospital lisingesikika.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Hahaha usalama gani na wa nini au nani unahitajika mortuary ?!

Au unaongelea usalama wa wanasiasa?!
Binadamu wote ni sawa, siasa ni kula kwao acheni kuwatukuza sio miungu hao.
 
Naona umekurupuka, hujajua sisi twazungumzia nini khs hizi mortuary, kama hauna ufahamu mzuri juu uhifadhi wa miili ni vyema ungekuwa msomaji tu ili ujifunze.

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
Hahaha usalama gani na wa nini au nani unahitajika mortuary ?!

Au unaongelea usalama wa wanasiasa?!
Binadamu wote ni sawa, siasa ni kula kwao acheni kuwatukuza sio miungu hao.
kwani mortuary hapahitaji ulinzi
 
1. Lugalo kikubwa ni ulinzi na utulivu wa hali ya juu eneo lile. Muhimbili mortuary yake haina utulivu na sio salama sana kama ilivyo lugalo.

Ifahamike kuwa moja kati ya hospitali ambazo ni za kawaida kabisa basi moja wapo ni Lugalo, vifaa, huduma, madokta n.k ni kawaida kabisa.

Hii Hospital isingekuwa ni hiyo mortuary hata jina hilo la Lugalo Hospital lisingesikika.

Huo ulinzi ni wa kulinda maiti?
Kwamba itaibwa ama itafanywaje...!?
 
Nimepata jibu la ile sentensi amefikwa na umauti hospitali moja Dar bila kutajwa.
 
Aliyekuwa Amir Jeshi alipofariki akahifadhiwa ktk mochwari ya jeshi
Akasafirishwa kwa airbus ya kijeshi akibebebwa kwenye gari maalum ya kijeshi

Jeneza lake likibebebwa na makanali wa jeshi wakisindikizwa na majenerali wa jeshi pembezoni

Atazikwa kijeshi sambamba na mizinga itakayopigwa na wanajeshi
 
Miili yao huhifadhiwa Lugalo

Maradhi yao hutibiwa Kijitonyama

Zote ni kwa sababu za usalama

Hata Dr Omar Makamu wa Mkapa nae alifariki mwezi wa saba kama Mkapa na kwa ugonjwa unaofanana nae alihifadhiwa Lugalo

Viongoz hapo wapo kazini na posho zipo kama kawaida

Dah......aiseee...🤔
 
1. Lugalo kikubwa ni ulinzi na utulivu wa hali ya juu eneo lile. Muhimbili mortuary yake haina utulivu na sio salama sana kama ilivyo lugalo.

Ifahamike kuwa moja kati ya hospitali ambazo ni za kawaida kabisa basi moja wapo ni Lugalo, vifaa, huduma, madokta n.k ni kawaida kabisa.

Hii Hospital isingekuwa ni hiyo mortuary hata jina hilo la Lugalo Hospital lisingesikika.
Unaposema ya kawaida unamaanisha nin mkuu??
 
Back
Top Bottom