mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,422
- 1,791
Kutokana na uamuzi wa serikali kutoonyesha vikao vya bunge LIVE, na hii ni kutokana na serikali kuficha uovu ili wananchi wasione LIVE hivyo kuivua nguo serikali.
Wabunge wamechaguliwa na wananchi ambao ndio wanahitaji kuona wabunge wanafanya nini ndani ya bunge.
Kwa kuwa bunge halitakiwa kuwa LIVE, wananchi tunaomba vikao vya baraza la Madiwani vionyeshwe LIVE ili wananchi tuone madiwani wetu wanafanya nini.