Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 66,989
- 173,597
Richmond ijayo ni kwa njia ya upepo😅Sisi kazi yetu ni kusema panapobidi kusema, ikija Richmond nyingine msije sema hatukuonya, mabepari wamerudi kwa kasi ya umeme.

Katika umeme wa upepo na yeye ana % yake. Pesa haijawahi kumuacha MTU salamaMzee baba amwkuta miktaba iliishasainiwa hadu gharama ya kununua hiyo gas..Hata makamba kaufyata kaamua kuhamasisha wawekeze kwwnye umeme wa jua na upepo
Wasichojua ni kwamba wanampa Airtime maana ana trend hatari.Anatakiwa tu ku handle vizuri hili suala la umeme vizuri,then mpaka 2025 nchi nzima itakuwa inamuimba.Huyu Makamba hadi anafika 2030 atasababisha vifo vya BP kwa wenye chuki naye wengi sana!! Mwanzo yalianza majungu kwa Mwigulu, yakaonekana hayana kiki, yamehamia kwa Makamba!! Kwa siku lazima "kakikundi ka chuki" kaanzishe threads si chini ya 10 kuhusu JM, jambo jema ni kwamba Kiongozi wa sasa haishi kwa kusikiliza "Wapika majungu wa mitandaoni walioshindwa maisha", Anaishi kwa Ethics za kiuongozi alizofundisha since akiwa kijana.
Mwambie akalete crane ya Stigler gougeMzee baba amwkuta miktaba iliishasainiwa hadu gharama ya kununua hiyo gas..Hata makamba kaufyata kaamua kuhamasisha wawekeze kwwnye umeme wa jua na upepo
Ukimuona 'mbwa' juu ya mti ujue kapandishwa!Lakini ndio hivyo tena, mzee baba hatunaye tena, na sasa wale vijana wa awamu ya nne wamerudi. Huyu Mh. Makamba kaanza kwa vikao lukuki na hao mabepari, kisha tunaanza kutangaziwa upungufu wa maji kwenye mabwawa yetu ambao sio wa kweli. Lengo ni nini hasa?
Pole na kutemvea na bahasha za kaki mtaaani kutafuta ajira na demu wako kukuacha ssa naona unalalamaPamoja na sifa zilizopitiliza Magufuli ametuachia matatizo yote hayo ya umeme, madeni, hali ngumu ya maisha, n.k. Tunahitaji kubadilisha mfumo wa uongozi nchi hii, CCM ni laana kubwa.
Hawa kina chongolo shaka et al ni wachumia tumbo tu. Tungetegemea positive critical actions toka kwao. Kazi kuzurura tu kula posho za safari.Mheshimiwa JPM alikuwa na mapungufu mengi lakini jambo moja kwa hakika ni alikuwa hawezi kukaa na dukuduku moyoni. Hata alipowatumbua watu aliwananga hadharani kwanini amewala vichwa.
Wakati anatutangazia kuwa tusahau kuhusu gesi ya Mtwara kwakua tulishapigwa na hivyo basi tujikite kwenye mradi wa kizalendo wa JNHPP alituambia waziwazi. Inawezekana mambo haya yalikuwa SIRI lakini mzee baba alimwaga mchele kwenye kuku wengi
NI wazi kuwa mabepari na mabeberu yaliyokuwa yanatafuta kutupiga kwenye sekta hii ya gesi na mafuta hayakufurahia, kwani wengi walitegemea serikali kupitia TANESCO ndio awe mteja mkubwa wa gesi hiyo ambayo tungeuziwa kwa bei mbaya huku mafisadi yakijipatia % zao.
Lakini ndio hivyo tena, mzee baba hatunaye tena, na sasa wale vijana wa awamu ya nne wamerudi. Huyu Mh. Makamba kaanza kwa vikao lukuki na hao mabepari, kisha tunaanza kutangaziwa upungufu wa maji kwenye mabwawa yetu ambao sio wa kweli. Lengo ni nini hasa?
Wazalendo uchwara fanyeni kazi yenu vizuri, lindeni maslahi ya nchi. Achaneni na mambo ya kijinga ya kukimbizana na CDM, lindeni rasilimali za nchi dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Du!Mheshimiwa JPM alikuwa na mapungufu mengi lakini jambo moja kwa hakika ni alikuwa hawezi kukaa na dukuduku moyoni. Hata alipowatumbua watu aliwananga hadharani kwanini amewala vichwa.
Wakati anatutangazia kuwa tusahau kuhusu gesi ya Mtwara kwakua tulishapigwa na hivyo basi tujikite kwenye mradi wa kizalendo wa JNHPP alituambia waziwazi. Inawezekana mambo haya yalikuwa SIRI lakini mzee baba alimwaga mchele kwenye kuku wengi
NI wazi kuwa mabepari na mabeberu yaliyokuwa yanatafuta kutupiga kwenye sekta hii ya gesi na mafuta hayakufurahia, kwani wengi walitegemea serikali kupitia TANESCO ndio awe mteja mkubwa wa gesi hiyo ambayo tungeuziwa kwa bei mbaya huku mafisadi yakijipatia % zao.
Lakini ndio hivyo tena, mzee baba hatunaye tena, na sasa wale vijana wa awamu ya nne wamerudi. Huyu Mh. Makamba kaanza kwa vikao lukuki na hao mabepari, kisha tunaanza kutangaziwa upungufu wa maji kwenye mabwawa yetu ambao sio wa kweli. Lengo ni nini hasa?
Wazalendo uchwara fanyeni kazi yenu vizuri, lindeni maslahi ya nchi. Achaneni na mambo ya kijinga ya kukimbizana na CDM, lindeni rasilimali za nchi dhidi ya maadui wa ndani na nje.
HakikaUkimuona 'mbwa' juu ya mti ujue kapandishwa!
Sasa anafanya kazi za 'aliyempandisha'
Aliyempandisha kuna 'viporo' vyake vililala, sasa kijana wake anamalizia.
Tuinuke wa Tz, tuinuke kizazi cha Nyerere kwani tunakwenda kubaki na mahandaki kama ilivyokuwa dhahabu!
Ndio hapo sasa, kila siku wanatengeneza mazingira ya kutuaminisha kuwa kuna tatizo, ili wakileta suluhisho lao la kifisadi tusitilie shaka.JPM alipambana akaondoa mgao,eti kijamaa kijuajijuaji kinakuja na movie mpya kila siku.
Wewe ambae sio pepari tunakuomba ukawekeze tupate pesa Mr MzalendoMheshimiwa JPM alikuwa na mapungufu mengi lakini jambo moja kwa hakika ni alikuwa hawezi kukaa na dukuduku moyoni. Hata alipowatumbua watu aliwananga hadharani kwanini amewala vichwa.
Wakati anatutangazia kuwa tusahau kuhusu gesi ya Mtwara kwakua tulishapigwa na hivyo basi tujikite kwenye mradi wa kizalendo wa JNHPP alituambia waziwazi. Inawezekana mambo haya yalikuwa SIRI lakini mzee baba alimwaga mchele kwenye kuku wengi
NI wazi kuwa mabepari na mabeberu yaliyokuwa yanatafuta kutupiga kwenye sekta hii ya gesi na mafuta hayakufurahia, kwani wengi walitegemea serikali kupitia TANESCO ndio awe mteja mkubwa wa gesi hiyo ambayo tungeuziwa kwa bei mbaya huku mafisadi yakijipatia % zao.
Lakini ndio hivyo tena, mzee baba hatunaye tena, na sasa wale vijana wa awamu ya nne wamerudi. Huyu Mh. Makamba kaanza kwa vikao lukuki na hao mabepari, kisha tunaanza kutangaziwa upungufu wa maji kwenye mabwawa yetu ambao sio wa kweli. Lengo ni nini hasa?
Wazalendo uchwara fanyeni kazi yenu vizuri, lindeni maslahi ya nchi. Achaneni na mambo ya kijinga ya kukimbizana na CDM, lindeni rasilimali za nchi dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Mtu pekee aliyeusaka urais na kuupata ni JK, wengine wote baada ya mwalimu hawakudhaniwa.
Mbona procurement na award of contract ya sgr, stiglers na ndege, ilikuwa na usiri?? Mkubwa. KWA hiyo naye alirudia makosa yale yale ya watangulizi wake??Mheshimiwa JPM alikuwa na mapungufu mengi lakini jambo moja kwa hakika ni alikuwa hawezi kukaa na dukuduku moyoni. Hata alipowatumbua watu aliwananga hadharani kwanini amewala vichwa.
Wakati anatutangazia kuwa tusahau kuhusu gesi ya Mtwara kwakua tulishapigwa na hivyo basi tujikite kwenye mradi wa kizalendo wa JNHPP alituambia waziwazi. Inawezekana mambo haya yalikuwa SIRI lakini mzee baba alimwaga mchele kwenye kuku wengi
NI wazi kuwa mabepari na mabeberu yaliyokuwa yanatafuta kutupiga kwenye sekta hii ya gesi na mafuta hayakufurahia, kwani wengi walitegemea serikali kupitia TANESCO ndio awe mteja mkubwa wa gesi hiyo ambayo tungeuziwa kwa bei mbaya huku mafisadi yakijipatia % zao.
Lakini ndio hivyo tena, mzee baba hatunaye tena, na sasa wale vijana wa awamu ya nne wamerudi. Huyu Mh. Makamba kaanza kwa vikao lukuki na hao mabepari, kisha tunaanza kutangaziwa upungufu wa maji kwenye mabwawa yetu ambao sio wa kweli. Lengo ni nini hasa?
Wazalendo uchwara fanyeni kazi yenu vizuri, lindeni maslahi ya nchi. Achaneni na mambo ya kijinga ya kukimbizana na CDM, lindeni rasilimali za nchi dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Ilikuwa ni siri au ni uvivu wako tu wa kutokufuatia taarifaMbona procurement na award of contract ya sgr, stiglers na ndege, ilikuwa na usiri?? Mkubwa. KWA hiyo naye alirudia makosa yale yale ya watangulizi wake??
AbsolutelyProject zenye sura ya iptl, dowans, escrow ni za mabeberu, sasa makuwadi wao wamerudi ndani ya nyumba....tusitarajie mambo tofauti.
Haikuwa siri, serikali iliamua kuwa bypass madalali tu.Mbona procurement na award of contract ya sgr, stiglers na ndege, ilikuwa na usiri?? Mkubwa. KWA hiyo naye alirudia makosa yale yale ya watangulizi wake??