Vijuza kutoka ughaibuni vinawamaliza vijana wa Arusha

Hali ni mbaya mno Arusha mjini.
Ifike mahala sasa hawa vijana wetu tuwakumbushe kuna option B ya Maisha .
Wamekosa uwoga kabisa , kijana wa Rika la 20's unamkuta mnara wa saa pale au maeneo ya shoppers anakomkongoja Ajuza wake wa 70s bila haya usoni.

Hali ni mbaya.
mkuu inalipa balaa, hata mm nikipata kibibi napita nacho
 
Ishu ipo hivi,,
Kule kwao wanawake wengi hata wanaume wanapata wakati mgumu kuwa na wapenzi wazungu wenzao.
Sababu zilizopo wanaume kule wako bize ile kinoma hadi muda wa mapenz wanakosa.inachagizwa pia na ujanja ujanja wa wanaume wa kule hivyo ni ngumu kuchukua mzungu mwenzie na kumueka ndani km msukule ili akuhudumie ngono kila ukihitaji.hii ni mojawapo ya fursa huku africa sababu vile vibibi huwa na pesa na hakina familia kiko chenyewe tuu.hivyo kuja kurithi ma hisa ya makampuni very easy.

Jipeni moyo
 
Mijitu mingine bhana...unalaani kama wewe ni Mungu?

Jiulize mbona hawa vibibi hawatoki na vijana wa mikoa mingine licha ya kuwa na "utalii".
Kijana mwenzangu wa Arusha,acha mzuka na shobo.Sijasema nawalaani kama mimi ndiye MUNGU,bali nimesema walishalaaniwa tangu zama hao vijana wenzako wanaotembea na bibi zao!!!Mbona umepaniki,na wewe ni mmoja wao nini??Pole sana,ila kikubwa jirekebishe na kuachana na hiyo tabia.Ndio maana Arusha inadumaa kimaendeleo siku hadi siku zinavyopita huku mijii kama Dodoma na Mwanza ikichanua kama maua.
 
Ni mtu mshamba mshamba tu kama wewe ndiye ataongea "ujinga" unaoongea.

Wewe unajua kutembea na mwanamke aliyekuzidi umri ni laana...kama sio "ujinga" ni nini?
 
Hali ni mbaya mno Arusha mjini.
Ifike mahala sasa hawa vijana wetu tuwakumbushe kuna option B ya Maisha .
Wamekosa uwoga kabisa , kijana wa Rika la 20's unamkuta mnara wa saa pale au maeneo ya shoppers anakomkongoja Ajuza wake wa 70s bila haya usoni.

Hali ni mbaya.
Fuga rasta kama zangu na wewe uopoe mzungu.
 
Ni mtu mshamba mshamba tu kama wewe ndiye ataongea "ujinga" unaoongea.

Wewe unajua kutembea na mwanamke aliyekuzidi umri ni laana...kama sio "ujinga" ni nini?
Wewe ndio sampuli ya vijana wa Arusha wanaotumia bangi na mirungi,ukidhani hiyo ndiyo fashioni,badilika kijana.Acheni tabia ya kuoa vibibi au kuolewa na vibabu!!Sio mila zetu Watanzania/Waafrika.
 
Washamba kama nyie ndiyo mnaona hizo ni fashion. Arusha kuvuta bangi au kutembea na mzungu sio fashion ni jambo la kawaida.

Ulishaona mtu anakunywa maji ukaanza kumshangaa?? Kwetu Arusha haya mambo tunayachukulia kawaida saana. Sasa nyie mishamba isiyojielewa inayojua Dodoma na Mwanza inaizidi Arusha maendeleo endeleeni kujazana uboya..."mifuko"
 
Pooovuuuuu!!Acha tabia ya kuoa vibibi vya kizungu au kuolewa na vibabu vya kizungu.Unawaibisha wazazi wako!!
 
Hali ni mbaya mno Arusha mjini.
Ifike mahala sasa hawa vijana wetu tuwakumbushe kuna option B ya Maisha .
Wamekosa uwoga kabisa , kijana wa Rika la 20's unamkuta mnara wa saa pale au maeneo ya shoppers anakomkongoja Ajuza wake wa 70s bila haya usoni.

Hali ni mbaya.

Utajua Tu WA kuja.... Hiyo no Biashara ya utalii, not necessarily mapenzi.........
 
Pooovuuuuu!!Acha tabia ya kuoa vibibi vya kizungu au kuolewa na vibabu vya kizungu.Unawaibisha wazazi wako!!
Wazazi wangu hawana mentality za kishamba kama wewe.

Karibu Arusha mzee baba/mama uone tunavyoishi ukawasimulie mifuko wengine utokako.
 
Nipo hapa Arusha sasa hivi maeneo ya Mrina.Njoo,nimevaa t-shirt ya bluu nimekaa mbele ya counter mkono wa kushoto.Jioni naenda Shivas,kama muda utaruhusu night kali nitamalizia Kwa Mrombo.Karibu tujumuike acha kula lala nyumbani we mtoto wa mama.Hahahahahaaa!!!
 
Unaona sasa mitaa yako...mimi shavas nikatafute nini hao malaya nawajua hadi majina wanamiaka 20 wanajiuza hapo.

Tafuta tax mwambie akulete hapa Idara ya maji nakusubiri [sanawari ya juu] utapata ngoma wewe.

Halafu unavaa tshirt za buluu wewe ni msukuma au mnyakyusa??
 
Hahahahahaaa, Mimi Mmeru wa Kikatiti.
 
Kitu kikishazoeleka kinakua sio ushamba tena...

Ni kama ilivyo kwa mama ntilie chai na chapati mbili imekua kama sheria
 
Uvivu ndiyo chanzo cha haya.Vijana hawataki kujushughulisha ila wanataka kuishi vizuri.How???
 
As long as they are both consenting adults, I Would`t really give a flying fcuk. Its none of my business.
 
ChuGa kule machalii wengi ni pussy, money, weed.

They don't care who sees
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom