Vijue Vikokotozi vya Pension toka mifuko ya jamii..Fanya maamuzi sahihi

Tume ya Katiba

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
4,896
1,862
Leo nimepata bahati ya kuitazama mifuko yetu mitatu, NSSF, LAPF na PSPF jinsi wanavyokokotoa mafao yao.

NSSF:
Wanatumia wastani wa mshahara wa mwezi kwa miaka yako 3 ambayo ulikuwa unalipwa vizuri.

LAPF:
Wanatumia wastani wa mishahahara wako kwa mwaka

PSPF:
Hawa wanatumia Mshahara wako wa mwisho

Nimeweka assumption zifiatazo
Haya nimeassume kwamba wastani wa mshahara, au mishahara ya miaka 3 au mshahara wako wa wisho ni 2000,000. Pia nimeassume kwamba mwanachama amechangia miezi 180 tu kama kiwango cha chini cha mtu kuwa na sifa ya kupata Mafao.

Mafao kwa mujibu wa NSSF:

Initial Lumpsum 23,275,862.07/=
Monthly Pension 465,517.24/=

Mafao kwa mujibu wa LAPF:

Aina ya Mafao: Retirement(Old) Benefits
Muda Uliochangia (MIEZI): 180
Wastani wa Mshahara kwa mwaka (TSZ): 24,000,000.00
Pensheni ya Mwezi (TZS): 333,333.33
Pensheni ya Mkupuo (TZS): 62,000,000.00

Mafao kwa mujibu wa PSPF

Kama umeairiwa kabla ya july 2014
Initial lumpsum 62,000,000.00 Tsh
Montly pension 333,333.33 TSH

Kama umeajiriwa baada ya july 2014
Initial lumpsum 23,275,862 Tsh
Montly pension 465,517 Tsh

Maoni yangu:
1) Hawa jamaa kwa kiasi fulani wanatumia formula inayofanana. kimsingi hakuna ushindani kwenye formular ya kupata mafao.
2) PSPF wanatumia mshahara wako wa mwisho ni poa kidogo kwa kuwa mishahara mingi ya mwisho huwa ni mikubwa. Kwa waajiriwa binafsi unaweza kuchangia pesa nyingi ya mwezi unapoelekea kustaaf kujiongezea mafao!!!
3) Kama unataka kula fungu la uhakika ukifikisha umri wa kustaaf, bora ujiunge mapeema na LAPF, ingawa malipo yako ya mwezi yatapungua lakini malipo ya awali yatakuwa karibu mara tatu ya pesa zinazotolewa na mifuko mingine . Changamoto ni jinsi ya kupata wastani wa mishahara kwa mwaka, kama wanatumia miaka yote ni hatari kwa kuwa mishahara ya awali unapoanza kazi huwa midogo sana.
4) Kwa kigezo cha hapo juu ni bora PSPF kwa kuwa wanatumia mshahara wako wa mwisho, hasa kwa kwa wale ambao waliajiriwa kabla ya july 2014.
5) Kimsingi hakuna tofauti ya mafao/formular kwa LAPF na PSPF kwa wale walioajiriwa kabla ya july 2014.
6) Hakuna tofauti ya mafao/formular baina ya NSSF na PSPF kwa wale walioajiriwa baada ya july 2014.
7) Kama wewe ni mchangiaji wa NSSF au PSPF( kwa wale walioajiriwa baada ya july 2014), kuna uwezekano mkubwa sana wa kufa na kuacha pesa nyingi sana kwenye mfuko wako. Ni ngumu kwa mtu mwenye umri wa 55-60 kuipata pesa yote iliyobaki.

Mwisho: Ikiwa wanatumia formular zinazofanana! kuna haja gani ya kuwa na mifuko lukuuuki?

Wenu

Tume ya katiba
 
Bora kuwa mkulima tu
 
umeongea vizuri bora LAPF NA PSPF....nb ukitaka kufa mapema jiunge PPF....
 
Naomba kujulishwa zaidi kwani formula zimekaaje?
Mimi niliyeanza kazi 2016 July mafao yangu yakoje?
Mimi nipo PSPF!
 
Kwanza inabidi ujue tu sahivi mifuko yote inatumia harmonization rule iliyotolewa na SSRA july 2014, kwahyo member wa mifuko yote watakuwa computed sawa kwenye mafao ya uzeeni (old-age pension) na lumpsum zao, isipokuwa wateja wa PSPF na LAPF ambao walikuwa wanachangia before july 2014,

Kwahiyo zaid zaid hii mifuko inashindana kwenye short term benefits tu

Commuted
pension=(1/580*no of months contributed*APE)*12.5*25%
APE=average ya 3best paid salaries
Monthly
pension =(1/580*No of months contributed*APE)*7
5%*1/12
 
Unakua Mifukoni mwa watu au kwennye makaratasi??
Serikali ndio imesema hivyo mkuu na mimi nikapata ukakasi wa jambo hilo nikataka kulijua kwa undani. Uzuri mleta uzi kaja na formular za ukokotozi wa mapato nikaamua kumuuliza nilidhani huenda anaijua na formula ya kukokotoa Pato la Taifa kumbe kasema ni marufuku kuhoji hicho kitu.
Nikaona ngoja nikae kimya.
 
Mkuu kwamza nikushukuru kwa mchanganuo wako..

Hapo mwisho kwenye No 7 sijaelewa, unaweza kufafanua kidogo
Mkuu,
Mimi mwenyewe napambana na hali yangu.

Mada kama inavyojieleza, nimejaribu kuuliza swali linaloendana na mada lakini nimeambiwa sio ruksa kuuliza/kuhoji nilichosema.

Ebu elekeza swali lako kwa mleta uzi au kuna mtu anaweza kuja kukupa ufafanuzi baadae, vuta subira.
 
PPF wapo wapi hapa...
Leo nimepata bahati ya kuitazama mifuko yetu mitatu, NSSF, LAPF na PSPF jinsi wanavyokokotoa mafao yao.

NSSF:
Wanatumia wastani wa mshahara wa mwezi kwa miaka yako 3 ambayo ulikuwa unalipwa vizuri.

LAPF:
Wanatumia wastani wa mishahahara wako kwa mwaka

PSPF:
Hawa wanatumia Mshahara wako wa mwisho

Nimeweka assumption zifiatazo
Haya nimeassume kwamba wastani wa mshahara, au mishahara ya miaka 3 au mshahara wako wa wisho ni 2000,000. Pia nimeassume kwamba mwanachama amechangia miezi 180 tu kama kiwango cha chini cha mtu kuwa na sifa ya kupata Mafao.

Mafao kwa mujibu wa NSSF:

Initial Lumpsum 23,275,862.07/=
Monthly Pension 465,517.24/=

Mafao kwa mujibu wa LAPF:

Aina ya Mafao: Retirement(Old) Benefits
Muda Uliochangia (MIEZI): 180
Wastani wa Mshahara kwa mwaka (TSZ): 24,000,000.00
Pensheni ya Mwezi (TZS): 333,333.33
Pensheni ya Mkupuo (TZS): 62,000,000.00

Mafao kwa mujibu wa PSPF

Kama umeairiwa kabla ya july 2014
Initial lumpsum 62,000,000.00 Tsh
Montly pension 333,333.33 TSH

Kama umeajiriwa baada ya july 2014
Initial lumpsum 23,275,862 Tsh
Montly pension 465,517 Tsh

Maoni yangu:
1) Hawa jamaa kwa kiasi fulani wanatumia formula inayofanana. kimsingi hakuna ushindani kwenye formular ya kupata mafao.
2) PSPF wanatumia mshahara wako wa mwisho ni poa kidogo kwa kuwa mishahara mingi ya mwisho huwa ni mikubwa. Kwa waajiriwa binafsi unaweza kuchangia pesa nyingi ya mwezi unapoelekea kustaaf kujiongezea mafao!!!
3) Kama unataka kula fungu la uhakika ukifikisha umri wa kustaaf, bora ujiunge mapeema na LAPF, ingawa malipo yako ya mwezi yatapungua lakini malipo ya awali yatakuwa karibu mara tatu ya pesa zinazotolewa na mifuko mingine . Changamoto ni jinsi ya kupata wastani wa mishahara kwa mwaka, kama wanatumia miaka yote ni hatari kwa kuwa mishahara ya awali unapoanza kazi huwa midogo sana.
4) Kwa kigezo cha hapo juu ni bora PSPF kwa kuwa wanatumia mshahara wako wa mwisho, hasa kwa kwa wale ambao waliajiriwa kabla ya july 2014.
5) Kimsingi hakuna tofauti ya mafao/formular kwa LAPF na PSPF kwa wale walioajiriwa kabla ya july 2014.
6) Hakuna tofauti ya mafao/formular baina ya NSSF na PSPF kwa wale walioajiriwa baada ya july 2014.
7) Kama wewe ni mchangiaji wa NSSF au PSPF( kwa wale walioajiriwa baada ya july 2014), kuna uwezekano mkubwa sana wa kufa na kuacha pesa nyingi sana kwenye mfuko wako. Ni ngumu kwa mtu mwenye umri wa 55-60 kuipata pesa yote iliyobaki.

Mwisho: Ikiwa wanatumia formular zinazofanana! kuna haja gani ya kuwa na mifuko lukuuuki?

Wenu

Tume ya katiba
Tuwekee na Formula ya GEPF pia tuthaminishe
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom