- Usivae kiatu kimoja cha kushoto
- Ukishuka tanguliza mguu wa kushoto
Nimewahi kufanya utafiti wa uchawi (MKUSANYA TAKWIMU) kwenye soka la Bongo na hata kwetu yapo HAYA
- Tayari hapo kavunja masharti, ilitakiwa hadi soksi avue
hivi huyu mchezaji Yanga walimjua lini hadi wakamsainisha harkaraka bila hata majariboio? lakini nasikia ni 'fundi'
lazima tumnyakue huyu
kwa Simba usishangae wakimtema hata Okwi ..............tunaita kupagawa, sijuo kada yetu tunasaidiaje lakn falsafa ya watu wenye fedha ni kutoshaurikaNafasi zenu za Mapro zimejaa Mkuu, sasa hivi mmevunja mikataba mitatu kwa muda mfupi i.e. Kiongera, Kwizera na Tambwe. Huyu mtamuweka wapi sasa?
Nafasi zenu za Mapro zimejaa Mkuu, sasa hivi mmevunja mikataba mitatu kwa muda mfupi i.e. Kiongera, Kwizera na Tambwe. Huyu mtamuweka wapi sasa?
View attachment 210702
- Usivae kiatu kimoja cha kushoto
- Ukishuka tanguliza mguu wa kushoto
Nimewahi kufanya utafiti wa uchawi (MKUSANYA TAKWIMU) kwenye soka la Bongo na hata kwetu yapo HAYA
kavua za juu (kijani) halafu atakuja SIMBA huyu, record this post
imani kali zinapitiliza