'Vijimambo vya Mliberia'-Ameaga Kwao

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,142
13,216
sherman shuka.JPG
  1. Usivae kiatu kimoja cha kushoto
  2. Ukishuka tanguliza mguu wa kushoto

Nimewahi kufanya utafiti wa uchawi (MKUSANYA TAKWIMU) kwenye soka la Bongo na hata kwetu yapo HAYA
 
hivi huyu mchezaji Yanga walimjua lini hadi wakamsainisha harkaraka bila hata majariboio? lakini nasikia ni 'fundi'
 
Nafasi zenu za Mapro zimejaa Mkuu, sasa hivi mmevunja mikataba mitatu kwa muda mfupi i.e. Kiongera, Kwizera na Tambwe. Huyu mtamuweka wapi sasa?
kwa Simba usishangae wakimtema hata Okwi ..............tunaita kupagawa, sijuo kada yetu tunasaidiaje lakn falsafa ya watu wenye fedha ni kutoshaurika
 
Nafasi zenu za Mapro zimejaa Mkuu, sasa hivi mmevunja mikataba mitatu kwa muda mfupi i.e. Kiongera, Kwizera na Tambwe. Huyu mtamuweka wapi sasa?

Kiongera tumemundoa katka usajili wetu ili apate mda wa kupona vizuri but bado tuna mkataba nae. Msimu ujao mjiandae kukutana na dhahama lake.
 
Back
Top Bottom