Vijijini nako hawadanganyiki: Picha spesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijijini nako hawadanganyiki: Picha spesho

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ulukolokwitanga, Oct 27, 2010.

 1. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Nimeshangaa sana kuona bendera ya pipooooz inapepea vijijini kabisa ambako kuna umaskini mkubwa sana na nyumba zao za nyasi. Ila sina hakika kama watalinda kura zao baada ya kumpa Dr Slaa. DSC01378.JPG
   
 2. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Huwa wanasema CHADEMA iko mijini tu vijijini haijafika, sasa hapo bendera inapopepea ni mjini? CHADEMA OYEEEEEE!
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 4. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nguvu ya uma ndo italinda kura
   
 5. Tatu

  Tatu JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2010
  Joined: Oct 6, 2006
  Messages: 1,081
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Hapo hapajauzwa bado? Very good view indeed.

  Natumaini wanamapinduzi watapaokoa kama pameshauzwa.
   
 6. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Yaani nakwambia mwaka huu watu wa vijijini si wale wa mwaka 47. Hapa nilipo niko naongea na kaka yangu huko kijijini usukumani (Mwanza) ananiambia kuwa mwamko ni mkubwa mno, maovu ya Kikwete dhidi ya uchumi wa nchi wanayafahamu vizuri jambo ambalo sikulitegemea na anasema Slaa anakubalika mno mno. Huyu kaka yangu alikuwa mwenyekiti wa CCM wa tawi na amehamia CHADEMA. Tuzidi kumwomba MUNGU haki itendeke ushindi kwa Slaa uko wazi kabisa.
   
Loading...