Uchaguzi 2020 Vijijini mwamko ni mkubwa mno katika mikutano ya Tundu Lissu

Huna Akili Kama BAVICHA wenzio Magufuli hajawa Mhofia wala kumwogopa Kibaraka Lissu Lejea MIGA
Wewe ndiyo kichwa chako kimejaa kamasi kabisa, hivi unafahamu ni kwa kiasi gani Magufuli anamuogopa Lissu? Hata mbogo tu ambaye ni mnyama ukimpiga risasi ikamjeruhi bila kumuua nadhani shughuli yake kama huijui tuulize siye wawindaji.
Shetani siku zote humhofia Mungu pamoja na malaika zake, yaani Jiwe kumhofia Lissu ni pie (3.14). Alafu hiyo ID yako badilisha haraka sana, jiite Dr. Lipumbafu, hakuna Bill duniani mwenye kamasi kichwani kama wewe!
 
Lowassa ndio nani??
Kuna tafaut 20000 Kati ya TL na EL
Kweli kwenye siasa hakuna rafiki au adui wa kudumu, miaka mitano iliyopita mlikua mnazungusha mikono halafu leo unauliza lowasa ni nani?
 
uliona Lisu alivyofika CHato hakuthubutu kabisa kuuongelea.SEhemu zote alizopita usukumani kaanza kuogopa kuuongelea akiugusa tu anaqzomewa na watu
Eti Lisu ajulikani vijijini, Kama trump anajulikana vijijini sembuse Lisu
 
Lowasa alikua anajaza zaidi ya Lisu, shida ni kwamba wengi wanaokwenda kwenye mikutano hiyo ni vijana halafu hawajajiandikisha kupiga kura, bwana mkubwa badala ya kutanga tanga huko duniani angerudi kuhamasisha vijana wajiandikishe kupiga kula, huu ndio ukweli ukubali au ukatae
Kwahiyo waliojiandikisha ni wale wanaosombwa na malori kwenye mikutano ya CCM pekee?
 
FB_IMG_1602942109046.jpg

CCM ni ile ile ooh ni ile ile...Huu wimbo CCM wanauchukia siku hizi...
 

Attachments

  • FB_IMG_1602942100411.jpg
    FB_IMG_1602942100411.jpg
    53.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom