Vijijini makampuni ya simu yanavyowaibia vifurushi vyao

Smiling killer

JF-Expert Member
May 1, 2018
1,291
1,121
Network hamna watu wanajiunga vifurushi hawavitumii mpaka muda unaisha wizi mkubwa!...mbona vocha unavyoingiza insignia!?...tatizo kwenye kupiga na kutumia data ndo network hupati!serikali iangalie hili!!
 
Naomba kuuliza mfano nimejiunga bando ya internet ya siku 1 kwa kiasi cha 1000 then nikawa bize masaa 24 bila kuitumia hiyo bando.Je zile Mb huwa zinaenda wapi?
 
Naomba kuuliza mfano nimejiunga bando ya internet ya siku 1 kwa kiasi cha 1000 then nikawa bize masaa 24 bila kuitumia hiyo bando.Je zile Mb huwa zinaenda wapi?
Ni mojawapo ya aina ya wizi wa haya makampuni
 
Ifike time vocha ziwe kama luku bando likiisha ndo unanunua. Makampuni ya simu wezi sana
Yule wakili alileta bandiko la kukusudia kuyashitaki makampuni ya simu kwa suala Kama uliloleta sijui alifeli wapi. Sasa hivi tungekuwa tunatumia vifurushi vya simu Kama Luku.
 
Ifike time vocha ziwe kama luku bando likiisha ndo unanunua. Makampuni ya simu wezi sana
Kabisa. Tubebe mabango tutoke front. Nina imani awamu ya 5 ni sikivu. Ianzishwe online movement na tuteue viongozi waende kwa Waziri husika. Kama umeme tunalipa kadri tunavyotumia hata iwe miezi je imekuwaje hawa wenye vikampuni vya simu kutupa limit? Imagine unanunua bado na uko kijijini network ni mbaya muda ukiisha wameshakuibia pesa yako. Hii haikubaliki. Watanzania tuamke.
 
Naomba kuuliza mfano nimejiunga bando ya internet ya siku 1 kwa kiasi cha 1000 then nikawa bize masaa 24 bila kuitumia hiyo bando.Je zile Mb huwa zinaenda wapi?
Moja ya vigezo na mashariti ni kutumia hilo bando ndani ya muda uliopangwa so hapo wanajiondoa kwenye lawama. Ujanja wa makampuni haya ni kuweka masharti yanayowapa wao faida. Kama serikali kweli inataka wananchi watendewe haki ni kupitia upya vigezo vinavyowekwa na haya makampuni kwenye product zao. Wale wakongwe kidogo nafikiri wanakumbuka hata vocho tulikua tunawekewa muda wa kuitumia.
 
Sisi wakazi wa Iyovi tufikiriwe. Yaani kijiji kizima tunatumia radio call hata mawimbi ya radio hayashiki
 
Sisi wakazi wa Iyovi tufikiriwe. Yaani kijiji kizima tunatumia radio call hata mawimbi ya radio hayashiki
 
Naomba kuuliza mfano nimejiunga bando ya internet ya siku 1 kwa kiasi cha 1000 then nikawa bize masaa 24 bila kuitumia hiyo bando.Je zile Mb huwa zinaenda wapi?
Moja ya vigezo na mashariti ni kutumia hilo bando ndani ya muda uliopangwa so hapo wanajiondoa kwenye lawama. Ujanja wa makampuni haya ni kuweka masharti yanayowapa wao faida. Kama serikali kweli inataka wananchi watendewe haki ni kupitia upya vigezo vinavyowekwa na haya makampuni kwenye product zao. Wale wakongwe kidogo nafikiri wanakumbuka hata vocho tulikua tunawekewa muda wa kuitumia
 
Back
Top Bottom