BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,526
- 3,802
Wakuu,
Ni wazi kuwa vijiji vingi havina umeme wala maji na hii ni changamoto kubwa nchini kwetu.
Binafsi ningependa kujua vijiji vyenye mzunguko mzuri wa pesa lakini hawana umeme na maji.
Lengo langu ni kuangalia namna ya kwenda kuuza solar na kuchimba visima na kuuza maji.
Hivyo wakuu, unaweza kuandika jina la kijiji wilaya na mkoa kinapo patikana ilimradi kuwe na mzunguko wa pesa ila kuna shida ya maji na umeme.
Karibuni wakuu