Vijiji vyenye shida ya maji na umeme

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,433
2,000
Wakuu,

Ni wazi kuwa vijiji vingi havina umeme wala maji na hii ni changamoto kubwa nchini kwetu.

Binafsi ningependa kujua vijiji vyenye mzunguko mzuri wa pesa lakini hawana umeme na maji.

Lengo langu ni kuangalia namna ya kwenda kuuza solar na kuchimba visima na kuuza maji.

Hivyo wakuu, unaweza kuandika jina la kijiji wilaya na mkoa kinapo patikana ilimradi kuwe na mzunguko wa pesa ila kuna shida ya maji na umeme.

Karibuni wakuu
 
Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
2,969
2,000
Wakuu,

Ni wazi kuwa vijiji vingi havina umeme wala maji na hii ni changamoto kubwa nchini kwetu.

Kijiji kukosa huduma ya maji na umeme sio Changamoto bali hilo ni tatizo tena kubwa.

Changamoto ni kitu ila hakipatikani kwa wakati.

CCM ina mtindo wa kuremba Matatizo na kuyaita Changamoto.

Nchii bado Giza sehemu nyingi sana mkuu.
 
BABA TUPAC

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,433
2,000
Kijiji kukosa huduma ya maji na umeme sio Changamoto bali hilo ni tatizo tena kubwa.

Changamoto ni kitu ila hakipatikani kwa wakati.

CCM ina mtindo wa kuremba Matatizo na kuyaita Changamoto.

Nchii bado Giza sehemu nyingi sana mkuu.
Umeelewa swali langu mkuu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom