digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,890
- 14,344
Wakuu hamjambo?
Naomba niende kwenye hoja yangu juu ya huyu msomi na kijana anayetegemewa sana hapa nchi mheshimiwa sana ndugu Tundu A. Lissu, ambapo nimekuwa na maswali machache juu ya huyu mheshimiwa.
Kwanini hivi karibuni huyu Mheshimiwa sana amekuwa mtu wa kulia lia sana na kuanza kudai vipesa vidogo vidogo ambavyo hata Bunge halivitambui? Huenda maisha ya ughaibuni yamemshinda hii ni kutokana na wafadhiri wake kustisha luzuku kwake ,na kwakuwa yuko nchi za watu hana pa kushika ndo maana kila siku kujibizana na kuleta mipasho mitandaoni.
Kwanini amelalamikia suala la mheshimiwa IGP sirro kutojibu barua zake ambazo anadai eti apatiwe ulinzi na ahakikishiwe usalama ili arudi nchini?
Kwa nionavyo Mimi mheshimiwa sana Lissu ametumika sana na mabeberu yakiwa na matumaini kuwa huenda labda anapolitical influence kwa nchi yetu hivyo akiwa Rais yaweze kuvuna raslimali zetu bure na badala yake yameona hana jipya hivyo yamemtelekeza ndo maana anaanza kulialia akitaka kurudi nyumbani
Ushauri wangu kwa vijana na wasomi wa nchi hii naomba mtambue kuwa serikali inapoteza fedha nyingi kuwasomesheni ikiwa na matumaini kuwa mje muitumikie nchi nabadala yake mnageuka kuwa waasi dhidi ya taifa letu, kamwe huu sio uungwana hata kidogo maana taifa na wananchi walipa kodi hayo si Marengo mahususi ,vijana wasomi wajifunze kupitia kwa Lissu waone ni namna gani anapitia magumu na kujutia kwa kile alichokifanya kwa kuinajisi nchi huku ajlkijiapiza kuwa lazima nchi wahisani watutenge katika nyanja zote ,siasa za namna hii hazijengi kwani wote tunajenga nyumba moja haina haja ya kunyanganyana fito.
Sent using Jamii Forums mobile app