Vijana wetu wa airtel raising star huenda wakatutoa kimasomaso | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wetu wa airtel raising star huenda wakatutoa kimasomaso

Discussion in 'Sports' started by kazikubwa, Aug 14, 2012.

 1. kazikubwa

  kazikubwa JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mbando amewaambia Watanzania kupitia ITV Michezo leo kuwa timu ya vijana hao wamejiandaa vema na kutuhakikishia kutulea ushindi na sifa. Huenda machungu yetu ya Olimpiki yakapozwa na vijana hawa. Tuwaombee dua
   
Loading...