amina ngalo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 309
- 170
VIJANA WENZANGU WA UKAWA /CHADEMA ZAMA ZIMEBADILIKA KUBALINI HIVYO
Kumekuwepo maneno ya kejeli yanayotolewa na baadhi ya vijana wenzetu haswa wa CHADEMA /UKAWA kuwadhihaki baadhi ya makada wa wa CCM haswa wale tunaokipambania chama chetu mitandaoni kuwa tumeachwa kwenye uteuzi
Napenda tuu ifamike kuwa kuwa mwanachama wa chama cha siasa ni mapenzi ya mtu binafsi tu nakama kunamtu kwenye siasa yupo kwaajili ya nafasi au kutarajia jambo basi anaweza kuja lia siku moja maana huwa siasa ina badilika.
CCM inazaidi ya wanachama milioni nane kwasasa umoja wa vijana wa CCM unazaidi ya wanachama wake milioni tatu nazaidi kama malengo nikulipa fadhila basi ilitakiwa tuwe na wilaya zaidi ya milioni nne kuwapa vijana wakwenye chama cha mapinduzi bado kuna jumuia ya wanawake Tanzania UWT pia ipo jumuia ya wazazi Tanzania na mkoa maalumu wa vyuo vikuu wote hawa walitakiwa walipwe fidia za ukuu wa wilaya kwa mawazo ya vijana wa UKAWA/CHADEMA.
Hali hii ya kumzushia na kumtengenezea mh rais matabaka siyo mzuri wala haina afya kwa nchi yetu pale vijana wa ukawa wanaposema vijana wa CCM Kanda ya Kaskazini tumeachwa huu niuchochezi kila siku CHADEMA mmefanya siasa za ukanda na udini bila mafanikio msituingize kwenye siasa zenu chafu.
Kumekuwepo na mbinu nyingi zinazolenga kumgawa mh rais Dr.John Magufuli na wanachama wemzake wa CCM pia kutaka kumchonganisha na watangulizi wake jambo hili halivumiliki hata kidogo tutalipiga vita jambo hili kwa nguvu zote nafasi za uteuzi anayeteua anamteua mtu ambaye anaweza msaidia na aliyemkubali yeye na siyo vingine hivyo tuwaunge mkono wale waliyo teuliwa na mh rais waweze kutekeleze majukumu yao.
Kwa wale ambao walikuwa kazini na wameachwa bado wananafasi mzuri sana yakuja kuliendeleza taifa huku uraiani, kama uliwaza kuteuliwa na hujateuliwa basi endelea na majukumu yako ya kila siku ya kujenga chama na nchi.
Imetolewa leo
Tar 27.6.2016
Martin Munisi