Vijana wenzangu tuwe makini, tamaa ingeniponza jana, nilitimka kidogo nivunje mguu

haki ya Mungu wewe ndiye ambaye ungetafunwa jokingly.

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
IMG_1395.JPG

YA moto sana mkuu
 
Ahahahah...
Nilishajiwekea utaratibu wa kutogeuka kuangalia mwanamke kwa nyuma..ile tabia yetu wanaume..same pia kumtamani mwanamke naemuona barabarani just in case.
Never
 
Hao mie nimewatembezea bakora sana mkoani Tabora miaka ya nyuma walikuwa wengi sana mkoa ule nimepiga sana ilifikia kipindi hata binadamu wa kawaida nilikuwa naona wananizingua isipokuwa hao wa miguu ya kwako sema nilipata changamoto kidogo nilipotaka kuoa binadamu mwenzangu wao lengo kuu uzae nao tu basi ila bange na kitimoto zilisaidia sana mpk sasa ninapoandika nimepuliza cha jamaica
 
Kwa hiyo kumkomesha huyu NGurumbili nitafute Cha Arusha au Mbuzi Catholic.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom