Vijana wenzangu tuache kuhonga kizembe!

Spark

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
1,001
1,024
Nawaasa vijana wenzangu,tufanye kazi kwa bidii na kuhifadhi fedha zetu ili ziweze kutusaidia ktk matatizo yetu yabaadae! Unampaje mwanamke fedha kizembe tena ambae hana mda naww! Et umempenda? N mama ako mzazi huyo au umezaliwa nae?? Ukiwa na shida anakusaidia nn zaidi ya kukucheka! Tubadilike jmn saiv ndo muda wa kumek..sasa ww jifanye kidume sana tutakutana uzeeni! Povu ruksa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kwa nini nimehisi huu mwandiko ni wakike!
Na kama siyo mwanamke kaandika basi kuna tatizo mahali.
Anyway.. Sorry kwa kuhisi!!

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 
Sijui kwa nini nimehisi huu mwandiko ni wakike!
Na kama siyo mwanamke kaandika basi kuna tatizo mahali.
Anyway.. Sorry kwa kuhisi!!

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Najua umechukia jamaa kawatibulia vitonga.... Ukweli ndo huo,... Huwezi honga honga hovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mweshimiwa spika naunga mkono hoja haiwezekani tuna jitutumua kubeba zege alafu unaenda kuhonga tuu kizembe kisa umependa eti weeee mimi ndio sihongi hata mia dem wangu analijua hilo
Nawaasa vijana wenzangu,tufanye kazi kwa bidii na kuhifadhi fedha zetu ili ziweze kutusaidia ktk matatizo yetu yabaadae! Unampaje mwanamke fedha kizembe tena ambae hana mda naww! Et umempenda? N mama ako mzazi huyo au umezaliwa nae?? Ukiwa na shida anakusaidia nn zaidi ya kukucheka! Tubadilike jmn saiv ndo muda wa kumek..sasa ww jifanye kidume sana tutakutana uzeeni! Povu ruksa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhonga ni kutoa hela au mfano wa hela
huku ukitegemea kupata huduma/msaada flani. Mfano mtu unahonga police kesi yako iishe, unamuhonga HR upate kazi nk.

Wewe kwanini unamuhonga mwanamke kama hutegemei kitu kutoka kwake? Kama unategemea kitu kutoka kwake hapo tunaita 'win win situation'.
 
Honga honga mimi kwangu ni marufuku, ila nikukutana na mtu alietulia akelewa hisia zangu, akajali asiwe na mambo mengi nitampa anachostahili na haitakua hongo bali namtunuku upendo wake kwangu,
 
Back
Top Bottom