Vijana wenzangu tambueni Serikali inachotaka

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,086
42,889
Serikali inataka maendeleo ya Watu na taifa. Serikali Haiutambui ulevi kwa hivyo nawashauri vijana wenzangu ambao mna stress za kukosa ajira achaneni na mambo ya kishetani kama vile ulevi lieni usiku na mchana kwa machozi kabisa kumlilia Mungu atuokoe.

Ajira zitatoka tu kwa kuwa mmesoma na mna elimu zenu stress zisiwafanye mkajitumbukiza kwenye mambo ya hatari kama vile ulevi maana nyie ndo taifa la kesho mali yote iliyopo nchini inawahitaji nyie muisimamie ili ije kuwasaidia wadogo zenu.

Kama ni Mkristo simama umuone yesu nenda kama ni msikitini kasali sana.
 
'Mali yote iliyopo nchini inawahitaji nyie muisimamie ili ije kuwasaidia wadogo zenu.'

Nani alikudanganya mzee baba?

Nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuuuuuu?Mniombeeeeee.
 
Vijana ni nguvu kazi ya taifa. Na maendeleo daima yanaanza na wewe. Unabidi ujue na wewe unachokitaka
 
Maendeleo ya Watu na Taifa ndiyo kusigina na Kubaka katiba ya wananchi?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom