Vijana wenzangu mliokosa ajira hii ni yenu

Haya mambo unaweka hela unaambiwa inaingia kwenye walleti halafu hata hiyo walleti yenyewe huioni mwisho wa siku unapata magonjwa ya moyo tu na presha🤣
Hahahah kuna mbinu tu anajua ata exit mwisho na kutakuwa hamna kesi, sahizi naona ameunda jopo la wanaijeria sio wakaburu kama forex 😅😅😅
 
Hahahah kuna mbinu tu anajua ata exit mwisho na kutakuwa hamna kesi, sahizi naona ameunda jopo la wanaijeria sio wakaburu kama forex 😅😅😅
Mimi nasikilizia hitimisho la sarakasi zote, halafu siku hizi wana mikwara unaambiwa kiingilio bure ila nafasi zimejaa, subiri mpaka ualikwe...ukialikwa unaona umepata la maana kumbe wanashangilia ona ng'ombe ile inajiingiza machinjioni🏃‍🤸‍♂️🤣
 
Mimi nasikilizia hitimisho la sarakasi zote, halafu siku hizi wana mikwara unaambiwa kiingilio bure ila nafasi zimejaa, subiri mpaka ualikwe...ukialikwa unaona umepata la maana kumbe wanashangilia ona ng'ombe ile inajiingiza machinjioni🏃‍🤸‍♂️🤣
Hahahahahah yani dogo anawatapeli kwa akili sana sahizi anatunisha tu account zake kupitia vijana ambao wako desperate na maisha baada ya kukosa ajira hasa wale watoto wenye ahueni kwao! Mtu anaomba mtaji afanye cryptocurrency mwisho ni kipigo tu 😅😅😅 wengine wafanyakazi wenye vipato vya chini ndio kundi ambalo ni mang’ombe wa hizi harakati! Kuwabeba rahisi sana hasa walimu wa shule za msingi na sekondari
 
Hahahahahah yani dogo anawatapeli kwa akili sana sahizi anatunisha tu account zake kupitia vijana ambao wako desperate na maisha baada ya kukosa ajira hasa wale watoto wenye ahueni kwao! Mtu anaomba mtaji afanye cryptocurrency mwisho ni kipigo tu wengine wafanyakazi wenye vipato vya chini ndio kundi ambalo ni mang’ombe wa hizi harakati! Kuwabeba rahisi sana hasa walimu wa shule za msingi na sekondari
Hakuna anayetapeliwa kwenye hii industry acha vijana wale madini PSSF na project yetu tikisha i lounge utaka sawa na bwana ONTARIO kijana mwenye akili acha utupe miongozo
Screenshot_20210711-091650.jpg
 
Hellow wana Famii Jorums

Sisi kama vijana ambao hatuna ajira na hatuna mchongo wowote mtaani basi tubadilike “Wengi hawaheshimu 'vision' (maono) kwa kuwa hawaelewi, wanaoelewa vision ni wenye vision, na wenye vision ni ngumu kukuunga mkono kwa sababu unaweza kuwa Mshindani huko mbele

Nlikuja. na thread niliokua natafuta maexpert wa komyuta nimeshapata japo matusi yalikua mengi kwa haters ila project imeshaanza kufanyiwa kazi baada ya mwezi hiv kila kitu kitakua tayari kabisa

Kwa wale wanaotamani kujifunza cryptocurrency tutakua na physical class pale kwenye jengo la PSSSF ambao watu wameshachukua siti zao tayr ila kwa wengin tutakua na session nyingin

Tutawapika vizuri kabisa bada ya hapo watakua vijana wazuri sana kwenye hii industry "If you don’t let up on yourself and instead become comfortable always operating with some level of pain, you will evolve at a faster pace. That’s just the way it is"" wallen buffet
Bila shaka unanikumbuka mkuu.
Na Mimi ni moja ya hater wako naam nilifanya hivyo kwa ubishi wako.
Ila kwa Leo bandiko lipo vizuri sana.
Have a good work 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom