Vijana wenzangu (20s), embu njooni tujadili huu msemo unaosema , "Ndugu akufukuzaye hakwambii toka"

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,185
5,105
Habarini wakubwa kwa wadogo. (maana salamu ya shikamoo tulifunzwa na wakoloni)

Niko hapa mbele yenu kuleta mada tajwa hapo juu, inayotugusa sisi vijana wa 20s, hasa tulioko hapa Dar es salaam , tunaotafuta elimu katika vyuo vikuu, lakini tuna kaa kwenye nyumba za watu, kuna viashiria ambavyo si vizuri kutendewa mtu.

Sasa nimewaiteni hapa kuwaombeni tujadili msemo huo hapo juu pamoja na viashiria vyake

Karibuni sana.
 
Back
Top Bottom