Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 49,681
- 39,013
Wanaukumbi.
Vijana wengi ambayo wapo Chadema na vyama vya upinzani wengi wao ni mawakala wa CCM.
Vijana wengi wapo Chadema kwa kwa kazi maalumu. Tatizo kubwa ni tamaa na njaa bahati mbaya ndani ya Chadema hawajui kinachoendelea.
Mfano ulikuwa kipindi cha uchaguzi kwenye kampeni walikuwa na mgombea wa CCM baada ya mgombea wa CCM kushinda sasa hivi wapo Chadema mimi siongei mengi picha hii inaongea.
Tuachane na Josephat Gwajima anayejiita ni mchungaji japo sijui nani alimtunuku uchungaji na kwavigezo vipi, yeye hana tofauti na sigara kaliAliyekuwa anaamini Kingunge ni kiongozi wa kitaifa atafakari upya,Jiulizeni kwa nini hakupata nafasi ya juu kama Mzee Kawawa enzi ya mwalimu?Ni Kingunge huyuhuyu alifukuzwa ukuu wa mkoa singida na Mwalimu Nyerere, leo anajivika chanda cha Mwalimu.Lowa alifukuzwa uanachama wa TANU kwakosa la kuiba pesa ya ujenzi wa ofisi za umoja wa vijana wa Tanu jijini Arusha yeye akiwa ni katibu wa vijana mkoa.
Ni Moringe na baadhi ya wazee waliopiga magoti kumuombea punguzo la adhabu na hivyo akapewa adhabu ya kuwepo Lumumba tu bila kazi yoyote kwa mda wa mwaka mzima.Katibu wa vijana TANU Taifa ndugu Elly Anangisye alifukuzwa moja kwa moja na ubunge wa Rungwe akavuliwa.
Alipofariki tu Mzee Nyeree, Lowasa na kundi lake walifanya party na kupongezana, wengine walipigiana simu hata kabla hajafa kuwa kikwazo kimeondoka,Leo kutangaza nia ya urais wanamtaja Mwalimu kama mbeleko.
Rip J.K Nyerere
BY Yericko Nyerere/JF
Link hii hapa chini.
http://www.google.com/url?sa=t&sour...ml?m=0&usg=AFQjCNGap3ldGVa8fOmmQ1Bd3mQSK4xh8A