Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
Hahahaa tunamuudhi jamaniSafi Sana sio unazaa mtoto wa kiume mweupe anakuja kuwa km cmp mrembo wa kiume,, we ushaona wapi
Hahahaa tunamuudhi jamaniSafi Sana sio unazaa mtoto wa kiume mweupe anakuja kuwa km cmp mrembo wa kiume,, we ushaona wapi
Leooo🤣🤣🤣🙌🙌Jidanganye, mwanaume mdark ndio mpango mzima. Wanaume weupe mmekikaa kimama mama. Pole lakini.
Hahhaaa nikajua ni mm tu napenda vibes hizo...mwanaume anatakiwa awe na ubavu...hata kunyanyua bati moja tu hawez anaanza kutafta vijana wabebe inahu..anaogopa litamchanaAcha uongo, mwanaume unakiganja laini kwani wewe ni dada!?
HaswaaaTall dark guys tunapendwa balaa yaani. Sijawahi kutamani kuwa mweupe hata siku moja
Worse enough,Ndo madhara ya mtt wa kiume kujiangalia angalia kwenye kioo hayo mwsho wa siku unajichubua unaona haitosh unaanza kuvaa na hereni na kulamba lips
Daa hilo sonyoo. Au umeshaifikia menopause ukizaa vyeupe jee utakasirika?Swali la kijinga Kweli, nyie ndo mnaoulizaga wazazi wenu kwanini wamewazaa sio? Mxiiiiiieeew
Siku mingi sanaWorse enough,
Kaweka avartar ya kipodozi kinachotumika kuchubua ngozi "top lemon".
Nna wasiwasi Sana
mwenzetu uyu atakua ndio bas Tena keshatutoka
Nazaaje vyeupe wakati naliwa na madume black tena black tiiii, wewe rangi nyeusi kwa mwanaume Ni tamu sanaDaa hilo sonyoo. Au umeshaifikia menopause ukizaa vyeupe jee utakasirika?
Mawazo ya kipimbi sana hayo!Vijana wa kiume na wa kike sasa hivi wanajichubua kwasababu ya ubaguzi na upendeleo unaokuwepo ktk jamii
Mfano unakuta mtoto anakosea mzazi anamwambia kwamba amefanya hivyo na ndo maana tu mungu alimuumba mweusi
Mweusi kama chungu cha mchawi
Wewe ni mweusi hadi huko rohoni kwangu
Una uzuri gani wewe mweusi kama mkaa!
Tatizo wewe ni mweusi sana yaani mbayaa
Ila jamaa wewe ni mweusi aisee sijui huko kwenu ulitokea wapi
Wazazi wako sisi ni weupe hata sijui ilikuaje tukakuzaa ww ukawa mweusi kuliko watoto wote
Wazazi na jamii kuonyesha mapenzi kwa watoto au watu weupe huku wale weusi wakiachwa tu unakuta mzazi anampenda mtoto mweupe na kuonyesha mapenzi ya waziwazi dhidi ya yule mweusi.
Jamii ya kitanzania inaongoza kwa kuwabagua watu weusi nazungumzia mtu ambaye ni mweusi yaani cheusi mangala
Huko mashuleni ndo usiseme na utani wa hapa na pale, ukigombana tu na mtu cha kwanza anaanza kukushambulia na ngozi yako kwanza kwenda huko ndo maana wewe ni mweusi, peleka weusi wako huko, lione leusi.
Mwishoni kaka wa watu au dada wa watu anaanza kujichubua tu, ubaguzi unauma sana asikwambie mtu bora hata kuuawa kuliko kubaguliwa au maneno ya ubaguzi
Mbona mi jamani napenda wanawake weusi mpaka naumwa. Yan nikiiona hiyo rangi mahali nachanganyikiwa! Au nipo mwenyewe?Vijana wa kiume na wa kike sasa hivi wanajichubua kwasababu ya ubaguzi na upendeleo unaokuwepo ktk jamii
Mfano unakuta mtoto anakosea mzazi anamwambia kwamba amefanya hivyo na ndo maana tu mungu alimuumba mweusi
Mweusi kama chungu cha mchawi
Wewe ni mweusi hadi huko rohoni kwangu
Una uzuri gani wewe mweusi kama mkaa!
Tatizo wewe ni mweusi sana yaani mbayaa
Ila jamaa wewe ni mweusi aisee sijui huko kwenu ulitokea wapi
Wazazi wako sisi ni weupe hata sijui ilikuaje tukakuzaa ww ukawa mweusi kuliko watoto wote
Wazazi na jamii kuonyesha mapenzi kwa watoto au watu weupe huku wale weusi wakiachwa tu unakuta mzazi anampenda mtoto mweupe na kuonyesha mapenzi ya waziwazi dhidi ya yule mweusi.
Jamii ya kitanzania inaongoza kwa kuwabagua watu weusi nazungumzia mtu ambaye ni mweusi yaani cheusi mangala
Huko mashuleni ndo usiseme na utani wa hapa na pale, ukigombana tu na mtu cha kwanza anaanza kukushambulia na ngozi yako kwanza kwenda huko ndo maana wewe ni mweusi, peleka weusi wako huko, lione leusi.
Mwishoni kaka wa watu au dada wa watu anaanza kujichubua tu, ubaguzi unauma sana asikwambie mtu bora hata kuuawa kuliko kubaguliwa au maneno ya ubaguzi
Aisee katika experience nilivyowahi kusikia wanawake mbalimbali, 80% ya wanawake hawapendi wanaume weupe. Kuna rafiki yangu nilikuwa nae alikuwa anapata tabu sana, kila nikienda nae mahali, mi mweusi nabeba goma, nikijaribu kumuunganishia kungine, jibu linakuja hawapendi mwanaume mweupe. Pole mkuu, endelea kujipa moyoNdo mnavyojipaga moyo hivyo ila hata ujifariji ukweli upo pale pale mwanaume mweupe anapendwa sana na wanawake na ndo maana mwanaume mweupe akimtongoza msichana mweusi huyo msichana anakuwa haamini kama kweli ni yeye amepata bahati yakutongozwa.
Ukweli upo wazi wanaume weusi hawajiamini ndo maana wanajikoboa kila siku wawe angalau na kaweupe fulani avutie wasichana.
Sasa niwe na kiganja kigumu cha nini? Ili iweje?sihitaji kiganja kigumu na mke wangu anataka mkono laini wa kumpapasia....sababu ana ngozi laini kwa nini asuguliwe na msasa? Magume gume ndo yatataka kiganja kigumu maana ngozi zao zimekuwa sugu.Acha uongo, mwanaume unakiganja laini kwani wewe ni dada!?
Basi wewe kinyongaMimi sijielewi ni rangi gan. Kuna muda nijiangalia nakuwa mweupe Kuna muda nakuwa mweusi.
Sielewi Mimi niko wap
Mimi rangi yangu inategemea vioiBasi wewe kinyonga
Ukiwa ulaya unaitwa black, hivi vitu ni relative sanaEwaaah... Mwanaume mweupe anaringa na bado wanawake watajisogeza maana wanajua kabisa ukiachana na mwanaume mweupe haichukui muda wanawake wanajiweka.
Hili nina ushahidi nalo kuanzia primary hadi chuo nimekuwa nikibabaikiwa sana na wasichana kwasababu ya weupe tu.
Na kiburi ninacho kweli lakini ntabembelezwa weeee hata kama kosa langu.
Ukweli mchungu tuache kujifariji maana kuwa mweusi tu inaonekana kama ni laana hivi. Yaani kama binadamu wa nyongeza tu.