Vijana, wazee na viongozi wa CCM mmemsusia mama?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
543
1,000
Kuna mgomo na mpasuko ndani ya ccm, labda hawakubaliana na aina ya viongozi waliopo kwenye chama au wengi wamefunikwa na mapinduzi yakiutawala yaliyofanywa na mama awamu ya sita.

Hakuna anayejadili habari za mama positive isipokuwa viongozi wa kitaaifa na wakiondoka jukwaani wanarudi kulekule kukosoa. Leo Kuna watu wanasubiri na wanapambana flani atoke kwenye uwaziri wateuliwe na hii imefanya mapambano makubwa yawe mapambano ya one man show Kama mtawla aliyepita badala ya mapambano ya taasisi Kama chama.

Katibu mkuu wa chama anafanya ziara mikoani viongozi wa maeneo hayo Awana muda naye labda walazimishwe kwenda. Enzi ya akina Kinana katibu mkuu alikuwa akija mkoa kila mtu anakuwa busy wakiweno wakuu wa mikoa na Wilaya leo hakuna anayemsikiliza kila mtu anafanya yake.

Lakini pia kipindi kilichopita kabla ya awamu ya sita umoja wa vijana wa chama cha upinzani ukitoa tamko au ukifanya kitu UVCCm ndo walikuwa wanakuja kujibu ila Leo hii Polisi ndo ndo wanatanguli kujibu wanafuata mawaziri na makatibu wakuu wa Wizara, je lini UVCCm itakuwa Kama majukumu yake yatafanywa na dola? Mmewafanya wapinzani kuonekana vijana wao wapo too focused maana vijana wenu mmewaziba mdomo.

Hii pia ipo kwa jumhia nyingine zote, Bawacha awqpaswi kupambana na polisi wanapaswa kupambana na umoja wa wanawake wa CCM .
Mkiendelea na mfumo huu itawabidi mwendeleze sera yenu yakusajili vijana wa upinzani wanaokubalika kwenye jamii na ambao kwa sababu mfumo wenu unaminya Uhuru wakujibizana kwa hoja hata wakija huko wanakuwa bubu.

Kwanza, niwashauri kwamba mnamkwamisha mama kwa mfumo huu wakutumia mawaziri, makatibu wakuu na dola kupambana na watu....ruhusuni jumhia zenu zifanye kazi. Mwaka Sasa hakuna chochote chenye msisimko kimetokana na chama, wenzenu wanabadilisha agenda na ninyi mnakimbizana nao bila kujua wao wanacheza na mindset na mahitaji ya jamii.

Wakemeeni mawaziri kufanya udhibiti, tengenezeni watu wenu mitandaoni wakujibu hoja hata Kama watafeli lakini kidogo kuonewa huruma kutapungua.

Hii ni neutral analysis kuwafungua macho, martin leo ni shujaa wa 2021 CCM mmeibua shujaa gani? Pambalu leo Ni lulu ninyi mmeibua Nani? Mdude nyangali anasimamisha mtaa na Hana cheo ninyi mna mtu wa hivyo kwenye jamii? Nape ndo kaisha, kigwangala kwisha, bashe kwisha, Mwigulu kwisha, polepole kwisha....Nani mmemwandaa kurithi mikoba yao? Maana hata January wizara aliyopewa na tycoons waliopo naye anakwenda kwisha kisiasa Kama wenzake........from all youth tunamtegemea shaka? Chongolo? No, rudini kwenye siasa na ili mrudi lazima mruhusu watu wenu waingie mitaani kupambana na wenzao kwa hojo. I submit
 
Mr. Sound

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
657
1,000
ndani ya ccm kwa sasa kunafuka moshi kimya kimya, salma kikwete, rizimoko, nape soon wataingia baraza la mawaziri, anguko kubwa la ccm lipo njiani maana mnyukano uliopo ndani ni mkubwa na hautapata suluhu.
 
Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
3,254
2,000
Hali ni mbaya sana kwao, siku ya wanawake badala wasimamishe chipukizi waongee na kujenga majina eti namba moko ndio anaenda kutangaza kugombea
 
Tmuller

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
2,147
2,000
Nchi ni yetu wote. Acha nao wapate. Muhimu wapige kazi.
ndani ya ccm kwa sasa kunafuka moshi kimya kimya, salma kikwete, rizimoko, nape soon wataingia baraza la mawaziri, anguko kubwa la ccm lipo njiani maana mnyukano uliopo ndani ni mkubwa na hautapata suluhu.
 
Tmuller

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
2,147
2,000
Bashe, Polepole na Shaka bado ni vijana wenye maono na hazina kubwa kwa taifa.

January amepewa nafasi, acha aonyeshe uwezo wake. Kama kazungukwa na vigogo basi ni bahati maana hao ndo watakaomjenga zaidi.
Kuna mgomo na mpasuko ndani ya ccm, labda hawakubaliana na aina ya viongozi waliopo kwenye chama au wengi wamefunikwa na mapinduzi yakiutawala yaliyofanywa na mama awamu ya sita.

Hakuna anayejadili habari za mama positive isipokuwa viongozi wa kitaaifa na wakiondoka jukwaani wanarudi kulekule kukosoa. Leo Kuna watu wanasubiri na wanapambana flani atoke kwenye uwaziri wateuliwe na hii imefanya mapambano makubwa yawe mapambano ya one man show Kama mtawla aliyepita badala ya mapambano ya taasisi Kama chama.

Katibu mkuu wa chama anafanya ziara mikoani viongozi wa maeneo hayo Awana muda naye labda walazimishwe kwenda. Enzi ya akina Kinana katibu mkuu alikuwa akija mkoa kila mtu anakuwa busy wakiweno wakuu wa mikoa na Wilaya leo hakuna anayemsikiliza kila mtu anafanya yake.

Lakini pia kipindi kilichopita kabla ya awamu ya sita umoja wa vijana wa chama cha upinzani ukitoa tamko au ukifanya kitu UVCCm ndo walikuwa wanakuja kujibu ila Leo hii Polisi ndo ndo wanatanguli kujibu wanafuata mawaziri na makatibu wakuu wa Wizara, je lini UVCCm itakuwa Kama majukumu yake yatafanywa na dola? Mmewafanya wapinzani kuonekana vijana wao wapo too focused maana vijana wenu mmewaziba mdomo.

Hii pia ipo kwa jumhia nyingine zote, Bawacha awqpaswi kupambana na polisi wanapaswa kupambana na umoja wa wanawake wa CCM .
Mkiendelea na mfumo huu itawabidi mwendeleze sera yenu yakusajili vijana wa upinzani wanaokubalika kwenye jamii na ambao kwa sababu mfumo wenu unaminya Uhuru wakujibizana kwa hoja hata wakija huko wanakuwa bubu.

Kwanza, niwashauri kwamba mnamkwamisha mama kwa mfumo huu wakutumia mawaziri, makatibu wakuu na dola kupambana na watu....ruhusuni jumhia zenu zifanye kazi. Mwaka Sasa hakuna chochote chenye msisimko kimetokana na chama, wenzenu wanabadilisha agenda na ninyi mnakimbizana nao bila kujua wao wanacheza na mindset na mahitaji ya jamii.

Wakemeeni mawaziri kufanya udhibiti, tengenezeni watu wenu mitandaoni wakujibu hoja hata Kama watafeli lakini kidogo kuonewa huruma kutapungua.

Hii ni neutral analysis kuwafungua macho, martin leo ni shujaa wa 2021 CCM mmeibua shujaa gani? Pambalu leo Ni lulu ninyi mmeibua Nani? Mdude nyangali anasimamisha mtaa na Hana cheo ninyi mna mtu wa hivyo kwenye jamii? Nape ndo kaisha, kigwangala kwisha, bashe kwisha, Mwigulu kwisha, polepole kwisha....Nani mmemwandaa kurithi mikoba yao? Maana hata January wizara aliyopewa na tycoons waliopo naye anakwenda kwisha kisiasa Kama wenzake........from all youth tunamtegemea shaka? Chongolo? No, rudini kwenye siasa na ili mrudi lazima mruhusu watu wenu waingie mitaani kupambana na wenzao kwa hojo. I submit
Mwisho ungekuwa muungwana kama ungewashauri wapinzani kuendelea na uimarishaji wa chama kama wanavyofanya CCM, harakati za katiba mpya haziufanyi upinzani ukue.
 
issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
3,537
2,000
Bashe, Polepole na Shaka bado ni vijana wenye maono na hazina kubwa kwa taifa.

January amepewa nafasi, acha aonyeshe uwezo wake. Kama kazungukwa na vigogo basi ni bahati maana hao ndo watakaomjenga zaidi.Mwisho ungekuwa muungwana kama ungewashauri wapinzani kuendelea na uimarishaji wa chama kama wanavyofanya CCM, harakati za katiba mpya haziufanyi upinzani ukue.
Wataimarishaje vyama wakati wakitaka kufanya vikao vya ndani mnawakamata na kuwafungulia kesi za ugaidi, vya nje Hangaya kakataza anasema anajenga nchi, wakifanya mazoezi mnawatuma polisi kuwazuia
 
Micho

JF-Expert Member
Apr 12, 2009
415
500
Kuna mgomo na mpasuko ndani ya ccm, labda hawakubaliana na aina ya viongozi waliopo kwenye chama au wengi wamefunikwa na mapinduzi yakiutawala yaliyofanywa na mama awamu ya sita.

Hakuna anayejadili habari za mama positive isipokuwa viongozi wa kitaaifa na wakiondoka jukwaani wanarudi kulekule kukosoa. Leo Kuna watu wanasubiri na wanapambana flani atoke kwenye uwaziri wateuliwe na hii imefanya mapambano makubwa yawe mapambano ya one man show Kama mtawla aliyepita badala ya mapambano ya taasisi Kama chama.

Katibu mkuu wa chama anafanya ziara mikoani viongozi wa maeneo hayo Awana muda naye labda walazimishwe kwenda. Enzi ya akina Kinana katibu mkuu alikuwa akija mkoa kila mtu anakuwa busy wakiweno wakuu wa mikoa na Wilaya leo hakuna anayemsikiliza kila mtu anafanya yake.

Lakini pia kipindi kilichopita kabla ya awamu ya sita umoja wa vijana wa chama cha upinzani ukitoa tamko au ukifanya kitu UVCCm ndo walikuwa wanakuja kujibu ila Leo hii Polisi ndo ndo wanatanguli kujibu wanafuata mawaziri na makatibu wakuu wa Wizara, je lini UVCCm itakuwa Kama majukumu yake yatafanywa na dola? Mmewafanya wapinzani kuonekana vijana wao wapo too focused maana vijana wenu mmewaziba mdomo.

Hii pia ipo kwa jumhia nyingine zote, Bawacha awqpaswi kupambana na polisi wanapaswa kupambana na umoja wa wanawake wa CCM .
Mkiendelea na mfumo huu itawabidi mwendeleze sera yenu yakusajili vijana wa upinzani wanaokubalika kwenye jamii na ambao kwa sababu mfumo wenu unaminya Uhuru wakujibizana kwa hoja hata wakija huko wanakuwa bubu.

Kwanza, niwashauri kwamba mnamkwamisha mama kwa mfumo huu wakutumia mawaziri, makatibu wakuu na dola kupambana na watu....ruhusuni jumhia zenu zifanye kazi. Mwaka Sasa hakuna chochote chenye msisimko kimetokana na chama, wenzenu wanabadilisha agenda na ninyi mnakimbizana nao bila kujua wao wanacheza na mindset na mahitaji ya jamii.

Wakemeeni mawaziri kufanya udhibiti, tengenezeni watu wenu mitandaoni wakujibu hoja hata Kama watafeli lakini kidogo kuonewa huruma kutapungua.

Hii ni neutral analysis kuwafungua macho, martin leo ni shujaa wa 2021 CCM mmeibua shujaa gani? Pambalu leo Ni lulu ninyi mmeibua Nani? Mdude nyangali anasimamisha mtaa na Hana cheo ninyi mna mtu wa hivyo kwenye jamii? Nape ndo kaisha, kigwangala kwisha, bashe kwisha, Mwigulu kwisha, polepole kwisha....Nani mmemwandaa kurithi mikoba yao? Maana hata January wizara aliyopewa na tycoons waliopo naye anakwenda kwisha kisiasa Kama wenzake........from all youth tunamtegemea shaka? Chongolo? No, rudini kwenye siasa na ili mrudi lazima mruhusu watu wenu waingie mitaani kupambana na wenzao kwa hojo. I submit

Alalae usimwamshe...

Wacha wapasuke tu..tuchague mbivu...
 
Micho

JF-Expert Member
Apr 12, 2009
415
500
ndani ya ccm kwa sasa kunafuka moshi kimya kimya, salma kikwete, rizimoko, nape soon wataingia baraza la mawaziri, anguko kubwa la ccm lipo njiani maana mnyukano uliopo ndani ni mkubwa na hautapata suluhu.

Rat race
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom